Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
we inakaa mtoto mdogo sana, haujamaliza shule, ushamba na aibu ndogo ndogo hapa ndo unaexpose..... haujui hata mahojiano unajurupukwa maneno tu.... mtu mshamba utamjua tu, unaongea ukidhani uko na point kumbe hamnazo...Copy and paste zitawamaliza nyie Wajaluo... Hao wa afrigan kila siku wanapigana vita visivyoisha zingekuwa hzo ndege zinawasaidia Waamerika wasingekimbia hyo nchi
lesson one- tafuta ndege zote duniani za kisasa zenye zimetengenezwa specifically for Counter-insurgency aircraft, alafu unionyeshe wapi utaona fighter jets