Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] it it issa day operation
Code name ya Ops: Blah blah blah mingi Hatutaki kusikia
Sitashangaa kusikia Kenya Police ina APC mob kuliko JWTZ
after all KENYA POLICE BUDGET IS ALREADY LARGER THAN JWTZ
HATA KWS pia ina Budget equal na JWTZ
Hahaha Ina aircraft mob kuliko JWTZ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Budget, Budget! Labda nikuulize swali dogo - hivi VietNam ilipopigana vita na Amerika na kuwashinda Budget ya VietNam ilikuwa ya kiwango gani? Think again - sio mnajisemea tu.