Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya marehemu babu sambeke wa moshindo hizi mabilionea wa moshi kibao wanazo wanaita chopa
Duh, mjomba ya kweli haya? Maana majirani wanatuambia tutaisoma namba. Sijui namba ya kirumi MMXVII[emoji23] [emoji23] [emoji23]Air tractor AT-802 for KDF!!
Baada ya train lile la kizamani hapa Wakenya wameliwa tena.
View attachment 463489View attachment 463490View attachment 463491
Yap ni real mkuu.Duh, mjomba ya kweli haya? Maana majirani wanatuambia tutaisoma namba. Sijui namba ya kirumi MMXVII[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo ulimbukeni ndio utawauwa! Hivi hata hamjui kwa sababu gani jeshi huwa na vifaa tofauti tofauti! Hivi mlitaka kuona Jets, akilini mnadhani jets ni kila kitu!!! Ukijenga nyumba, utahitaji lori ya kubeba mchanga na mawe kisha utahitaji Wheelbarrow na vijiko kuchanganya saruji! Ni wape kimfano muelewe! We are arming ourselves in all aspects!!!Yap ni real mkuu.
Yaani hapi Al-Shabab watapata credit za bure kabisaaaa.
Ni RPG tu inafanya kazi ya kutungua hizo ndege za kilimo zilizofanyiwa modification.
Duh!!!Obama alikuwa anawabeba Alshabaab,waislamu wenzake
uongo mkuu!! asingemuua OsamaDuh!!!
Unajua ukweli mwingine ni vibaya kuusema..
Kwa mtu alokwisha kustaarabika si vyema kutamka maneno yenye machukizo wazi hata kama umeficha uhalisia wako!Obama alikuwa anawabeba Alshabaab,waislamu wenzake
The Air Tractor AT-802 is an agricultural aircraft that may also be adapted into fire-fighting or armed versions. It first flew in the United States in October 1990 and is manufactured by Air Tractor Inc. The AT-802 carries a chemical hopper between the engine firewall and the cockpit and another one under the belly. In the U.S., it is considered a Type III SEAT, or Single Engine Air Tanker.[1]mauzo ya ndege za kivita kwa Kenya
JAN 24, 2017by MWANDISHI WETUin AFRIKA MASHARIKI
Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Kenya akiwa kwenye lindo wakati wananchi wa Somalia wakiogelea katika pwani ya bahari ya Hindi huko Kismayu nchini Somalia Novemba 20m 2015. Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya shilingi za Kenya bilioni 43.5 kwa jeshi la nchi hiyo ili kuongeza nguvu mapambano dhidi ya Al-Shabab. FILE PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP
WIZARA ya Mambo ya Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya ndege za kivita zenye thamani ya dola za kimarekani 418 milioni (sawa na shilingi bilioni 43.5 za Kenya) kwa Kenya.
Cheti cha kuidhinisha mauzo hayo kilifikishwa katika makao makuu ya Bunge la Marekani huko Capitol Hill Januari 19.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Defence Security Cooperation Agency, serikali ya Kenya, chini ya makubaliano hayo, itapokea ndege 12 aina ya Tractor AT – 802L na 2 aina ya AT-504 maalumu kwa ajili ya mafunzo.
Pamoja na mauzo hayo, ni msaada wa kiufundi pamoja na usimamizi wa mpango huo.
Taarifa hiyo ilisema kwamba makubaliano hayo yatasaidia sana katika kuimarisha usalama wa Marekani kwa kuwa Kenya ni mshirika mkubwa katika eneo hili ambaye yupo katika mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Al-Shabab.
Taarifa hiyo inaongeza kwamba Kenya imekuwa ikichangia askari katika Jeshi la Umoja wa Afrika huko Somalia, yaani Amisom.
Ndege hizo zinatarajia kuzisaidia ndege za zamani aina ya F-5 na zinasemekana kuwa zina gharama ndogo na zinaweza kukaa karibu zaidi na ukanda wa mapambano kuliko zile za F-5.
Mapema wiki iliyopita, rais mpya wa Marekani Donald Trump amehoji uhusika wa nchi yake katika mapambano dhidi ya Al-Shabab nchini Somalia, na kusema kwamba vita imedumu kwa miaka 10 bila kuwepo kwa matokeo yanayoonekana.
Mbona hakumbeba muislam mwenzake Col Muammar Gaddafi?Obama alikuwa anawabeba Alshabaab,waislamu wenzake