The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hilo ndilo suluhishoSidhani kama ataweza bila ya kuingilia kati kijeshi huko Ukraine
Never!!....wala usitegemee hicho kituSidhani kama ataweza bila ya kuingilia kati kijeshi huko Ukraine
Lakini unafikiri kwa nini baadhi ya maeneo ya Ukraine kusini yaliyo kuwa chini ya Serikali ya Kiev yalihamua kufanya referendum na kijiunga na Urusi, kumbuka idadi kubwa ya wakazi hao wana asili ya Urusi na wanazingumza Kirusi, walikuwa wanateswa sana na kutengwa na serikali ya Zelensky nfio maana waliomba msaada kutoka Urusi.Hiyo ardhi itafanya eneo hilo lisitulie kama palestine na israel.
Ni mjinga pekee atakubali ardhi yake ipokwe kwa kisingizio cha amani, hakuna amani pasipokuwa na haki.
Haki gani unayo izingumzia hapo!,je,unajua jinsi Serikali ya Zelensky ilivyo kuwa inawatesa na kuwanyanyasa wakazi wa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine, hasa baada ya mapinduzi/colour revolution iliyo ratibiwana kuwa funded na the USA na baadhi ya mataifa ya Ulaya, tatizo la Ukraine siyo dogo kama mnavyo lifikiria, lengo la mapinduzi ni kutaka kuitumia Ukraine ili ipigane a proxy war on behalf of western crooks, na Zelensky kwa akili zake finyu akakubali Taifa lake na wanajeshi wake pamoja na wanajeshi wa kukodisha na baadhi kutoka members wa NATO waka kutumika kutaka kupigana na majrshi ya Urusi, wanapigwa na kuuwawa kweli kweli lakini Zelensky hajali, anakataa hata kuchukuwa miili ya wanajeshi wake walio fia vitani eti hataki kulipa fidia kwa familia za wafiwa, we sikia akili za Zelensky!!Hiyo ardhi itafanya eneo hilo lisitulie kama palestine na israel.
Ni mjinga pekee atakubali ardhi yake ipokwe kwa kisingizio cha amani, hakuna amani pasipokuwa na haki.
Hiki kizee kinatumia nguvu sana kutaka apewe nobel peace prize kama Oboma lakini ataisikia tu.kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo.
"Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari Ikulu ya White House.
Trump na rais wa Urusi wameratibiwa kufanya mazungumzo huko Alaska wikendi hii. Trump amesema atajua ndani ya dakika mbili za mkutano wake na Putin ikiwa maendeleo yanaweza kupatikana.
Trump alielezea mkutano wa Ijumaa kama "mkutano wa uchunguzi" unaolenga kumtaka Putin kumaliza vita, akionyesha kwamba anauona mkutano huo kama mkutano wa awali tu.
Trump alionya tena kwamba kutakuwa na "mabadilishano na mabadiliko ya eneo" kati ya Urusi na Ukraine.
Hii si mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kutumia neno "kubadilishana maeneo," ingawa bado haijafahamika ni eneo gani ambalo Urusi inaweza kukabidhi kwa Ukraine, hasa kwa vile Kyiv haijawahi kudai eneo lolote la Urusi
Hizo zote ni siasa za udanganyifu kwani Ulaya mida hii wapanga mipango thabiti ya kuweka silaha za kutosha pale Ukraine na Russia amekuwa akizilipua ingawa media ya Magharibi hawasemi hivyo.kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo.
"Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari Ikulu ya White House.
Trump na rais wa Urusi wameratibiwa kufanya mazungumzo huko Alaska wikendi hii. Trump amesema atajua ndani ya dakika mbili za mkutano wake na Putin ikiwa maendeleo yanaweza kupatikana.
Trump alielezea mkutano wa Ijumaa kama "mkutano wa uchunguzi" unaolenga kumtaka Putin kumaliza vita, akionyesha kwamba anauona mkutano huo kama mkutano wa awali tu.
Trump alionya tena kwamba kutakuwa na "mabadilishano na mabadiliko ya eneo" kati ya Urusi na Ukraine.
Hii si mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kutumia neno "kubadilishana maeneo," ingawa bado haijafahamika ni eneo gani ambalo Urusi inaweza kukabidhi kwa Ukraine, hasa kwa vile Kyiv haijawahi kudai eneo lolote la Urusi
Hapana mkuu, bado Marekani amepewa baadhi ya maeneo kama Dobra ambako kuna madini ya Lithium na eneo hilo lipo kilomita zipatazo 300 upande wa kusini mashariki mwa mji wa Kyiv.Eneo lenye madini muhimu ambalo marekani amepewa kama fidia ya usaidizi wa silaha Kwa Ukraine limechukuliwa na Urusi, hivyo Marekani amesainishwa mkataba feki
Ukraine hawana ujanja rasilimali zake zote zitachukuliwa kati ya Marekani na Russia.Hiyo ardhi itafanya eneo hilo lisitulie kama palestine na israel.
Ni mjinga pekee atakubali ardhi yake ipokwe kwa kisingizio cha amani, hakuna amani pasipokuwa na haki.
Ukraine hawana ujanja rasilimali zake zote zitachukuliwa kati ya Marekani na Russia.
Ulaya wataka sana nao wapate mgao wao lakini kwa kutumia Ukraine dhidi ya Russia.
Hii ni Scramble for resources in Ukraine kati ya Russia, Marekani na Ulaya aka NATO.
Tatizo kubwa kwa sasa ni kwamba Russia amejichukulia sehemu kubwa yenye utajiri mkubwa wa madini, hivyo NATO nao ni lazima waendelee kuwekeza kwenye vita wakitarajia ipo siku wataambulia nao cha kwao.
Trump ni mtu wa ajabu sana yaani urusi ipigane ipoteze vifaa watu na mda halafu waje kurudisha maeneo kizembe hivyokwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo.
"Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari Ikulu ya White House.
Trump na rais wa Urusi wameratibiwa kufanya mazungumzo huko Alaska wikendi hii. Trump amesema atajua ndani ya dakika mbili za mkutano wake na Putin ikiwa maendeleo yanaweza kupatikana.
Trump alielezea mkutano wa Ijumaa kama "mkutano wa uchunguzi" unaolenga kumtaka Putin kumaliza vita, akionyesha kwamba anauona mkutano huo kama mkutano wa awali tu.
Trump alionya tena kwamba kutakuwa na "mabadilishano na mabadiliko ya eneo" kati ya Urusi na Ukraine.
Hii si mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kutumia neno "kubadilishana maeneo," ingawa bado haijafahamika ni eneo gani ambalo Urusi inaweza kukabidhi kwa Ukraine, hasa kwa vile Kyiv haijawahi kudai eneo lolote la Urusi
Trump si alisema ataishambulia russia,imekuwaje trna
Sawasawa weye fikiria Russia kwa mujibu wa jamaa wa IGTM (Institute of Geotechnical Mechanics) ndo husoma data za madini pale Ukraine, pale Donetsk Russia imechukua eneo lote la Shevshenko ambalo lina madini ya Lithium hivyo kufanya iwe yakalia maeneo mawili yenye madini hayo. Russia pia kachukua maeneo yenye madini ya Tantalum na Neobium pamoja na eneo lote la mgodi mkubwa wa makaa ya mawe pale Zaphorizhzhia, mgodi wa chumvi pale Soledar na makaa ya mawe pale na hiyo ni juu ya akiba ya migodi mingine zaidi ya 700 ambayo sasa hivi Russia imekalia na hii ni zaidi ya theluthi moja ya madini yote ya Ukraine.Mkuu, kwa Ulaya mwenye Uchu wa madini ya Ukraine.ni Ufaransa, ndio maana Rais wao (Macron) anajitia kimbele mbele sana kwa kujidai kumpa Ushauri Zelensky kwamba apuuze ushauri wa Trump wa
kusitisha VITA.
Macron na wenzake wanataka vita hii iendelee wakiwa na imani potofu
kwamba wanaweza kushinda majeshi ya Urusi eventually!!
Lakini juzi Trump kawakumbusha viongozi wa Ulaya kwamba linapo kuja suala la kupigana vita Urusi hamuwawezi, imewahi kupigana vita vikubwa mara mbili na vyote
wakahibuka washindi, kama bado mna mpango wa kuendeleza vita au ku-resort kwenye overt or covert means mtajuta sana against Russia kwa lengo la kuisambaratisha basi mkae mkijua kwamba mwisho wa siku mtajuta sana na wala Merikani haitsjiingiza kwenye vita hii, na kweli ndio maana Viongoz iwa Ulaya Trump hakuwapa mwaliko kwenye mkutano baina yake na Putin huko Alaska, alijua jamaa hawa ni wavurugaji tu hawana jipya zaidi ya fitina za kuisema vibaya Urusi eyi ni tishio kwa Bara zima la Ulaya - ulaghai mtupu. wenye lengo la kuwatisha raia wa Ulaya eti "Russians are coming after them" lugha waliyo kuwa wanaitumia tangu enzi za cold WAR.
Lakini unafikiri kwa nini baadhi ya maeneo ya Ukraine kusini yaliyo kuwa chini ya Serikali ya Kiev yalihamua kufanya referendum na kijiunga na Urusi, kumbuka idadi kubwa ya wakazi hao wana asili ya Urusi na wanazingumza Kirusi, walikuwa wanateswa sana na kutengwa na serikali ya Zelensky nfio maana waliomba msaada kutoka Urusi.
Mnaendeleza ngojera zile zile za remnant COLD WAR mentality mnazo copy RAW kutoka kwenyeHiyo siyo kweli kabisa, Watu karibia wote kabisa wa nchi ya Ukraine hawapendi kabisa kuwa chini ya Utawala wa Urusi, hawapendi kabisa kusikia Habari hii. Hata raia wengine wa mataifa ya jirani na Ukraine ambayo hapo awali yalikuwa majimbo ya nchi ya Urusi ya zamani (USSR) kama vile Georgia, nao hawapendi kabisa kurudi tena na kuwa chini ya Utawala wa Urusi.
Sababu Kuu kabisa iliyofanya nchi hizo(makoloni ya Urusi ya zamani) kukataa kabisa kuwa chini ya Utawala wa Urusi ni kutokana na Utawala wa nchini Urusi kuendesha Nchi hiyo kwa mbinu chafu za Siasa chafu za udhalimu, UDIKTETA mkubwa Sana uliotamalaki ambapo raia wa kawaida hawana HAKI kabisa za kuhoji Watawala wao. Nchini Urusi kuna Utawala wa Kijamaa/Kikomunisti, hakuna Demokrasia. Ukiwa Urusi kamwe usithubutu kukosoa Watawala, ukikosoa watawala lazima tu utafanyiwa udhalimu mbaya wa kutekwa, kuteswa, kuwekewa sumu, Mali zako kuhujumiwa, au hata kuuawa. Utawala wa Nchi ya Urusi chini ya Mamlaka yake ya Ujasusi ya KGB (Sasa hivi inaitwa FSB) ndio inaongoza duniani kote kwa kuwafanyia udhalimu wakosoaji na wapinzani wa Utawala kwa kuwawekea sumu na kuuawa. Ukiwa Mwanaharakati wa Kupigania HAKI za binadamu au Mpinzani wa Serikali Basi utakuwa unatembea na kifo mkononi huko nchini Urusi. Raia wa Ukraine wanayajua madhila haya yote Ndio maana unaona kwamba Wananchi kabiria wote kabisa wa nchi hiyo ya Ukraine wameungana Sana na Watawala wao ili kupinga kabisa nchi yao kutekwa na Urusi na Wananchi hao kuanza kutawaliwa tena kidikteta na Utawala wa Urusi. Wananchi wa Ukraine hawataki tena kurudi Utumwani Misri!
Hata baadhi ya Watu Matajiri wa Urusi ambao wako against na Utawala wa kidikteta wa Urusi, wanaamua kuitoroka Nchi hiyo na kukimbilia kwenda kuishi katika Nchi zingine za Ulaya, hususani wanakimbilia kwenye Nchi zilizopo katika upande wa Ulaya Magharibi Kama vile Uingereza, Ufaransa, n.k, n.k.
Aidha, hata nchini Urusi kwenyewe nako daima huwa kuna fukuto kubwa sana la Watu (Majimbo ya Urusi) kutaka kujitenga
Utawala wa Nchi hiyo ya Urusi ili waweze kuanzisha nchi zao mpya na kujiamulia Mambo yao wenyewe, tatizo hili au hali hii nchini Urusi inaitwa Janga la kuwepo "
SEPARATISTS."