Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

Hiyo siyo kweli kabisa, Watu karibia wote kabisa wa nchi ya Ukraine hawapendi kabisa kuwa chini ya Utawala wa Urusi, hawapendi kabisa kusikia Habari hii. Hata raia wengine wa mataifa ya jirani na Ukraine ambayo hapo awali yalikuwa majimbo ya nchi ya Urusi ya zamani (USSR) kama vile Georgia, nao hawapendi kabisa kurudi tena na kuwa chini ya Utawala wa Urusi.

Sababu Kuu kabisa iliyofanya nchi hizo(makoloni ya Urusi ya zamani) kukataa kabisa kuwa chini ya Utawala wa Urusi ni kutokana na Utawala wa nchini Urusi kuendesha Nchi hiyo kwa mbinu chafu za Siasa chafu za udhalimu, UDIKTETA mkubwa Sana uliotamalaki ambapo raia wa kawaida hawana HAKI kabisa za kuhoji Watawala wao. Nchini Urusi kuna Utawala wa Kijamaa/Kikomunisti, hakuna Demokrasia. Ukiwa Urusi kamwe usithubutu kukosoa Watawala, ukikosoa watawala lazima tu utafanyiwa udhalimu mbaya wa kutekwa, kuteswa, kuwekewa sumu, Mali zako kuhujumiwa, au hata kuuawa. Utawala wa Nchi ya Urusi chini ya Mamlaka yake ya Ujasusi ya KGB (Sasa hivi inaitwa FSB) ndio inaongoza duniani kote kwa kuwafanyia udhalimu wakosoaji na wapinzani wa Utawala kwa kuwawekea sumu na kuuawa. Ukiwa Mwanaharakati wa Kupigania HAKI za binadamu au Mpinzani wa Serikali Basi utakuwa unatembea na kifo mkononi huko nchini Urusi. Raia wa Ukraine wanayajua madhila haya yote Ndio maana unaona kwamba Wananchi kabiria wote kabisa wa nchi hiyo ya Ukraine wameungana Sana na Watawala wao ili kupinga kabisa nchi yao kutekwa na Urusi na Wananchi hao kuanza kutawaliwa tena kidikteta na Utawala wa Urusi. Wananchi wa Ukraine hawataki tena kurudi Utumwani Misri!

Hata baadhi ya Watu Matajiri wa Urusi ambao wako against na Utawala wa kidikteta wa Urusi, wanaamua kuitoroka Nchi hiyo na kukimbilia kwenda kuishi katika Nchi zingine za Ulaya, hususani wanakimbilia kwenye Nchi zilizopo katika upande wa Ulaya Magharibi Kama vile Uingereza, Ufaransa, n.k, n.k.
Aidha, hata nchini Urusi kwenyewe nako daima huwa kuna fukuto kubwa sana la Watu (Majimbo ya Urusi) kutaka kujitenga na Utawala wa Nchi hiyo ya Urusi ili waweze kuanzisha nchi zao mpya na kujiamulia Mambo yao wenyewe, tatizo hili au hali hii nchini Urusi inaitwa Janga la kuwepo " SEPARATISTS."
Hili gazeti lako halina kichwa wala masikio chief kwaza urusi hakul8fanya kolon taifa lolote la umoja wa Kisovyet
Pili kam watu wote wa Ukraine hawapendi urusi mbona criminean iko katika utawala wa urusi since 2014 na raia wake hawaasi uongozi ulokuepo
 
Brilliant indeed.Thanks a lot.
 
Ukraine hawana ujanja rasilimali zake zote zitachukuliwa kati ya Marekani na Russia.

Ulaya wataka sana nao wapate mgao wao lakini kwa kutumia Ukraine dhidi ya Russia.

Hii ni Scramble for resources in Ukraine kati ya Russia, Marekani na Ulaya aka NATO.

Tatizo kubwa kwa sasa ni kwamba Russia amejichukulia sehemu kubwa yenye utajiri mkubwa wa madini, hivyo NATO nao ni lazima waendelee kuwekeza kwenye vita wakitarajia ipo siku wataambulia nao cha kwao.
Ukraine sidhani kama watakubali ujinga huo.

Wakomae tu wapigane hata kwa fimbo ikibidi, kuliko kuachia ardhi yao ichukuliwe kijinga hivyo.

Russia huwa hawafungwi na mikataba!wala majadiluano yoyote duniaji, ni rogue state.

Bora Ukraine wapigane kama Hamas mpaka mwisho.
 
Haki gani unayo izingumzia hapo!,je,unajua jinsi Serikali ya Zelensky ilivyo kuwa inawatesa na kuwanyanyasa wakazi wa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine, hasa baada ya mapinduzi/colour revolution iliyo ratibiwana kuwa funded na the USA na baadhi ya mataifa ya Ulaya, tatizo la Ukraine siyo dogo kama mnavyo lifikiria, lengo la mapinduzi ni kutaka kuitumia Ukraine ili ipigane a proxy war on behalf of western crooks, na Zelensky kwa akili zake finyu akakubali Taifa lake na wanajeshi wake pamoja na wanajeshi wa kukodisha na baadhi kutoka members wa NATO waka kutumika kutaka kupigana na majrshi ya Urusi, wanapigwa na kuuwawa kweli kweli lakini Zelensky hajali, anakataa hata kuchukuwa miili ya wanajeshi wake walio fia vitani eti hataki kulipa fidia kwa familia za wafiwa, we sikia akili za Zelensky!!
Hizo siasa ndani, kwanza mipaka ya nchi irejeshwe kisha jayo ya ndani yashughulikiwe baadaye.
 
Lakini unafikiri kwa nini baadhi ya maeneo ya Ukraine kusini yaliyo kuwa chini ya Serikali ya Kiev yalihamua kufanya referendum na kijiunga na Urusi, kumbuka idadi kubwa ya wakazi hao wana asili ya Urusi na wanazingumza Kirusi, walikuwa wanateswa sana na kutengwa na serikali ya Zelensky nfio maana waliomba msaada kutoka Urusi.
Sawakama wanataka wahamie urusi nchi ya ukraine ibakize mipaka yake kama ilivyo.
 
Hili gazeti lako halina kichwa wala masikio chief kwaza urusi hakul8fanya kolon taifa lolote la umoja wa Kisovyet
Pili kam watu wote wa Ukraine hawapendi urusi mbona criminean iko katika utawala wa urusi since 2014 na raia wake hawaasi uongozi ulokuepo
Upuuzi tupu ulichoandika hapa.

Mathalani, Ukweli mchungu Sana kuhusu Tanzania ni kwamba, Wazanzibari wengi sana kama siyo wote kabisa hawapendi kabisa kuwa sehemu ya nchi ya Tanzania, bali wanapenda wajipatie Uhuru wao, wajitawale wao wenyewe na kuwa Taifa huru la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar lenye kujiamulia Mambo yake.
Je, kwa nini Wazanzibar hawaasi Utawala wa nchi hii ili wawe Taifa huru??
Kwa nini hawafanyi hivyo???
 
Nasikia watatumia mfumo kama wa Westbank Israel Nchi Ukraine but viongozi ni Russia Lugha Russian n.k so kunakuwa na maeneo ya kiutawala ya russia na Ukraine.

Russia, US discuss plan similar to West Bank for post-war Ukraine – report​

The plan means that Ukraine’s borders would not change, but Russia would cede control over undisclosed areas.​

Lakini unafikiri kwa nini baadhi ya maeneo ya Ukraine kusini yaliyo kuwa chini ya Serikali ya Kiev yalihamua kufanya referendum na kijiunga na Urusi, kumbuka idadi kubwa ya wakazi hao wana asili ya Urusi na wanazingumza Kirusi, walikuwa wanateswa sana na kutengwa na serikali ya Zelensky nfio maana waliomba msaada kutoka Urusi.
Aliyeamua ni Putin siyo raia wa maeneo hayo.
Kuteswa kwa raia wa maeneo hayo si kwasababu ya lugha yao bali kutumika na Moscow kuu destebilise Kiev.
 
Yaan kwa mfano leo kagera ifanye refererendum ya kujiunga na uganda hivi hata wewe ungekuwa rais wa Tz ungekubali?
Vitu vingine ni vizuri kuviongelea kwa uhalisia na kuweka ushabiki pembeni.
 
Ukraine sidhani kama watakubali ujinga huo.

Wakomae tu wapigane hata kwa fimbo ikibidi, kuliko kuachia ardhi yao ichukuliwe kijinga hivyo.

Russia huwa hawafungwi na mikataba!wala majadiluano yoyote duniaji, ni rogue state.

Bora Ukraine wapigane kama Hamas mpaka mwisho.
Hapo penyewe washakaza matako na washachoka
 
Ngoja tusubiri tuone! Lakini nadhani utakuwa mkutano wa kunywa chai pamoja kati ya Putin na Trump!
Hakuna kitakachobadilika kama masharti ya Russia hayatatimizwa.
 
Haki gani unayo izingumzia hapo!,je,unajua jinsi Serikali ya Zelensky ilivyo kuwa inawatesa na kuwanyanyasa wakazi wa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine, hasa baada ya mapinduzi/colour revolution iliyo ratibiwana kuwa funded na the USA na baadhi ya mataifa ya Ulaya, tatizo la Ukraine siyo dogo kama mnavyo lifikiria, lengo la mapinduzi ni kutaka kuitumia Ukraine ili ipigane a proxy war on behalf of western crooks, na Zelensky kwa akili zake finyu akakubali Taifa lake na wanajeshi wake pamoja na wanajeshi wa kukodisha na baadhi kutoka members wa NATO waka kutumika kutaka kupigana na majrshi ya Urusi, wanapigwa na kuuwawa kweli kweli lakini Zelensky hajali, anakataa hata kuchukuwa miili ya wanajeshi wake walio fia vitani eti hataki kulipa fidia kwa familia za wafiwa, we sikia akili za Zelensky!!
Ulikuwepo .......?? Zelensky hana shida na urusi .........ila urusi inashida na ukrein........kama urusi wanajiona superpower wamrudishie zele zile nuclear zake harafu wauone mziki.......
 
Hizo zote ni siasa za udanganyifu kwani Ulaya mida hii wapanga mipango thabiti ya kuweka silaha za kutosha pale Ukraine na Russia amekuwa akizilipua ingawa media ya Magharibi hawasemi hivyo.

Ujerumani wao wameendelea kutuma makombora ya Taurus na Ulaya wamejikita kuimarisha ile "Coalition of willing" au umoja wa hiari bila msaada wa Marekani.

Ushahidi kwamba bara ya Ulaya wajipanga kupigana na Russia (miaka ijayo) ni maelezo ya raisi wa Ufaransa macron ambae amesisitiza kupeleka majeshi nchini Ukraine na wanokitaka wao Ulaya ni kukabiliana vilivyo kijeshi na Russia miaka ijayo huku silaha na vifaa mbalimbali vya kijeshi wakiweka hapo magharibi mwa Ukraine.

Wao wanokifanya sasa hivi ni kujitayarisha kupigana vita kuu katiya NATO na Russia.

Russia nao kwa upande wao hawatako kufanya makosa ya Crimea ya kati ya 2014 hadoi2022 ambapo Ukraine iliiba muda kwa kujilimbikizia silaha mbalimbali za NATO na sasa hivi kila shehena inoingia Ukraine Russia wanakuwa wakilipua.

Kiukweli hii vita ni ya rasilimali kwa bara la Ulaya kutaka mgao wao upande wa magharibi na sehemu ya mashariki lakini ukiondoa Donbass yote ambayo Russia ndo waichukua pamoja na Luhansk na Donetsk.

Kwa bahati mbaya pamoja na kupeleka fedha na silaha za kila aina Ukraine nchi za NATO zimeshindwa kutimiza malengo yao ya kistratejia na kuchukua njia kuu za kiuchumi nchini Ukraine kwasababu Russia ameishachukua na Marekani nao wazihitaji.

Maeneo yote muhimu yenye madini adimu duniani yapo Crimea chini ya Russia na ni maeneo ambayo wapo wananchi wanozungumza kirusi. Pia maeneo ya Sevastopol kwenye kituo cha nyambizi na manowari za kivita vyote vipo chini ya Russia.

Ni kama vile kundi la Simba na kundi la Fisi walokutana kwenye mlo mmoja na hiyo ni hasara kubwa kwa Ukraine kwani ni viguu kuwatoa Russia kwenye maeneo wanoyashikilia.
Sawa Putin wa Kibaigwa.
 
Ulikuwepo .......?? Zelensky hana shida na urusi .........ila urusi inashida na ukrein........kama urusi wanajiona superpower wamrudishie zele zile nuclear zake harafu wauone mziki.......
Sijui hata kama unajua unacho zungumza hapa: eti "Urusi ina shida na Ukraine,je,hii ni kweli?? unakwenfa mbali zaidi na kudai eti: "Urusi inajiona ni Super Power" labda nikuhoji swali dogo, ebu twambie ni mataifa mangapi hapa Duniani ambayo Amerika ililazimika kukaa nayo meza moja kuzungumzia kupunguza idadi ya nuclear ICBM, idadi ya Submarine,idadi ya bombers zinazo beba nuclear cruise missiles na tactical gravity nuclear bombs nk,halafu wewe unakuja hapa na kujifanya hujui kwamba Urusi ni Super Power!!

Trump mwenyewe anajuwa vizuri sana uwezo mkubwa wa kijeshi wa Taifa la Urusi, kwa taarifa yako Urusi ndilo Taifa pekee hapa Duniani linalo weza kuifuta Merikani kutoka kwenye uso wa Dunia, halafu baadhi ya nyie watu baki
mnaichukulia Urusi kimzaa mzaa tu.

Nikwambie kitu: Zelensky na genge lake la Viongozi wa EU na Uingereza wakifanya mchezo wa kutaka kumvimbisha kichwa Zelensky ili akatae mambo ya usuruhishi basi akae akijua kwamba Ukraine nzima itatekwa na kukaliwa na Urusi na wala Merikani haitakuja kumsadia Zelensky na genge lake.

Kitu kingine kumbuka kwamba viwanda vingi na infrastructures karibu zote zilizopo Ukraine zilijengwa na ma Injinia wa Urusi. Halafu ebu chukua ramani ya Dunia, hivi unajua Taifa la Urusi lina cover land mass ya ukubwa gani Duniani?? Sasa linganisha Land mass ya Taifa la Ukraine si linaonekana kama dagaa kwenye maji ya Bahari , leo hii ndiyo udai kwamba Urusi ina nia ya kukwapuwa/pora asili mia ishirini ya kusini mashariki mwa Ukraine inayo kaliwa na raia wengi wenye asili ya Urusi na wanazungumza kirusi, wao ndio waliomba msaada kutoka Serikali ya Urusi baada ya kunyanyaswa,kubaguliwa na kuuwawa kwa wingi na jeshi la KINAZI/AZOV, kwani nani ambaye hajui ukweli huo, hapa mnaji baraguza na kumfanya muuaji na mkatiri Zelensky ni mtu wa maana!!

After all imekwisha pitishwa referendum ya raia wanao ishi kusini
mwa Ukraine kujiunga na Urusi kama zamani na wengi wao wamekubali kuungana na Urusi, kwani tatizo liko wapi?? na wala hawajasema wapewe Ukraine nzima, hata Trump anakubaliana na hoja zao, lakini anaishauri Urusi walao irudishie majimbo mawili Ukraine, sasa unataka kusema Trump hajui
alisemalo na wala hajagunduwa undani wa matatizo unasabaishwa na nini? Mbona Trump tangu aingie madarakani pamekwisha suruhisha migogoro mingi Duniani, kwani atashindwa wa Ukraine ambao wala hauna ukubwa sana wa kuifikia a mythical Chimera say!!

Kwani nani ambaye hajui kwamba tatizo lonakuzwa na maslahi binafsi ya Viogozi wa EU na Uingereza hao ndio hawataki mgogoro huu usitishwe nia yao ni kutaka kuikomoa Urusi na kutisha tisha raia wao kuhusu tishio la Urusi barani Ulaya ulaghai mtupu vile vile wanamwambia uongo mwingi Trump kwa lengo la kumwaribia sifa Putin na Urusi yenyewe.

Uzuri Trump amekwisha ushitukia unafiki wao viongozi hawa wa EU na Uingereza na amekwisha vile vile kupata habari kuhusu hujuma zinazo sukwa na viongozi hao ili mkutano baina ya Trump na Putin husifanikiwe huko Alaska, wamekwisha panga kufanya mambo ya ugaidi kwa kuuwa watu kwenye maeneo yanayo kaliwa na watu wengi na hata mahospitalini kwa kutumia Drones, mizinga ya 155mm, Missiles nk, halafu waje waisingizie Urusi kwamba ndiyo imetekeleza ugaidi huo wakiwa na imani kwamba tukio hilo litasababisha mkutano wa Trump na Zelensky kuvunjika - uzuri Trump amekwisha pewa habari kuhusu njama zote hizo, nina hakika atawapigia simu mmoja mmoja na kuwapa onyo kali akina Zelensky na genge lake la Viongozi wa EU na Uingereza na Waingereza ndio wanahusika sana katika masuala ya kuratibu ugaidi na hujuma nyingine dhidi ya Urusi.
 
kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo.

"Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari Ikulu ya White House.

Trump na rais wa Urusi wameratibiwa kufanya mazungumzo huko Alaska wikendi hii. Trump amesema atajua ndani ya dakika mbili za mkutano wake na Putin ikiwa maendeleo yanaweza kupatikana.

Trump alielezea mkutano wa Ijumaa kama "mkutano wa uchunguzi" unaolenga kumtaka Putin kumaliza vita, akionyesha kwamba anauona mkutano huo kama mkutano wa awali tu.

Trump alionya tena kwamba kutakuwa na "mabadilishano na mabadiliko ya eneo" kati ya Urusi na Ukraine

Hii si mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kutumia neno "kubadilishana maeneo," ingawa bado haijafahamika ni eneo gani ambalo Urusi inaweza kukabidhi kwa Ukraine, hasa kwa vile Kyiv haijawahi kudai eneo lolote la Urusi
Sawakama wanataka wahamie urusi nchi ya ukraine ibakize mipaka yake kama ilivyo.
Sasa unataka kubishana na Trump na wasaidize wake ambao Trump alikuwa anawatuma mara nyingi tu kujadiliana na team ya Zelensky kwanza halafu baadae na team ya Putin ili kungamua kiini cha titizo kinatokana na nini hasa - muda wote washauri wa Trump walikuwa wana mwambia hili kutatua tatizo hili afanye nini, siyo kwamba Trump anakurupuka tu na kutoa mapendekezo yake, sasa Zelensky na washauri wake ambao ni viongozi wa EU na Uingereza wakimwambia apuuzie ushauri wa Trump itakula kwake na hatapata usaidizi wowote kutoka Merikani na infact Merikani inaweza kusuka mpango wa kumuondoa madarakani Zelensky na kumsimika Mkuu wa zamani wa majeshi ya Ukraine ambaye siku hizi ni barozi nchini Uingereza, huyo ndiye Merikana inaona wanaweza kujadiriana naye na kufikia muhafaka wa amani ya kudumu na siyo huyu Zelensky mwenye fani ya muigizo ya
vichekesho kwenye TV basi, ndio maana uendeshaji/utawala wa Taifa lake umemshinda kweli kweli kazi kuwashinikiza vijana wadogo, wazee
na akina mama eti waende vitani kukomboa Taifa lake, yaani hana hata UTU, wamekufa vijana wengi wa Ukraine vitani lakini Zelensky amekataa hata kuchukua maiti zao kwenda kuzizika kwa heshima eti hana fedha za kulipa fidia familia za wafiwa -would you believe it!!
 
Aliyeamua ni Putin siyo raia wa maeneo hayo.
Kuteswa kwa raia wa maeneo hayo si kwasababu ya lugha yao bali kutumika na Moscow kuu destebilise Kiev.
Mkuu kwani neno referendum linamaanisha nini?? Labda tuanzie hapo.
 
Sasa unataka kubishana na Trump na wasaidize wake ambao Trump alikuwa anawatuma mara nyingi tu kujadiliana na team ya Zelensky kwanza halafu baadae na team ya Putin ili kungamua kiini cha titizo kinatokana na nini hasa - muda wote washauri wa Trump walikuwa wana mwambia hili kutatua tatizo hili afanye nini, siyo kwamba Trump anakurupuka tu na kutoa mapendekezo yake, sasa Zelensky na washauri wake ambao ni viongozi wa EU na Uingereza wakimwambia apuuzie ushauri wa Trump itakula kwake na hatapata usaidizi wowote kutoka Merikani na infact Merikani inaweza kusuka mpango wa kumuondoa madarakani Zelensky na kumsimika Mkuu wa zamani wa majeshi ya Ukraine ambaye siku hizi ni barozi nchini Uingereza, huyo ndiye Merikana inaona wanaweza kujadiriana naye na kufikia muhafaka wa amani ya kudumu na siyo huyu Zelensky mwenye fani ya muigizo ya
vichekesho kwenye TV basi, ndio maana uendeshaji/utawala wa Taifa lake umemshinda kweli kweli kazi kuwashinikiza vijana wadogo, wazee
Na akina mama eti waende vitani kukomboa Taifa lake, yaani hana hata UTU, wamekufa vijana wengi wa Ukraine vitani lakini Zelensky amekataa hata kuchukua maiti zao kwenda kuzizika kwa heshima eti hana fedha za kulipa fidia familia za wafiwa -would you believe it!!
Propaganda pro max. Kiongozi wa nchi ni Zelensky hata kama humpendi.

Ni ujinga kukubali Marekani waruhusu ardhi ya nchi nyingine itwaliwe na russia.

Mi bado nasema wapigane mpaka mwisho hata ikiwa kwa fimbo wasikatushwe tamaa kupigania taifa lao.
 
Back
Top Bottom