Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

Hili gazeti lako halina kichwa wala masikio chief kwaza urusi hakul8fanya kolon taifa lolote la umoja wa Kisovyet
Pili kam watu wote wa Ukraine hawapendi urusi mbona criminean iko katika utawala wa urusi since 2014 na raia wake hawaasi uongozi ulokuepo
 
Brilliant indeed.Thanks a lot.
 
Ukraine sidhani kama watakubali ujinga huo.

Wakomae tu wapigane hata kwa fimbo ikibidi, kuliko kuachia ardhi yao ichukuliwe kijinga hivyo.

Russia huwa hawafungwi na mikataba!wala majadiluano yoyote duniaji, ni rogue state.

Bora Ukraine wapigane kama Hamas mpaka mwisho.
 
Hizo siasa ndani, kwanza mipaka ya nchi irejeshwe kisha jayo ya ndani yashughulikiwe baadaye.
 
Sawakama wanataka wahamie urusi nchi ya ukraine ibakize mipaka yake kama ilivyo.
 
Upuuzi tupu ulichoandika hapa.

Mathalani, Ukweli mchungu Sana kuhusu Tanzania ni kwamba, Wazanzibari wengi sana kama siyo wote kabisa hawapendi kabisa kuwa sehemu ya nchi ya Tanzania, bali wanapenda wajipatie Uhuru wao, wajitawale wao wenyewe na kuwa Taifa huru la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar lenye kujiamulia Mambo yake.
Je, kwa nini Wazanzibar hawaasi Utawala wa nchi hii ili wawe Taifa huru??
Kwa nini hawafanyi hivyo???
 
Nasikia watatumia mfumo kama wa Westbank Israel Nchi Ukraine but viongozi ni Russia Lugha Russian n.k so kunakuwa na maeneo ya kiutawala ya russia na Ukraine.

Russia, US discuss plan similar to West Bank for post-war Ukraine – report​

The plan means that Ukraine’s borders would not change, but Russia would cede control over undisclosed areas.​

 
Aliyeamua ni Putin siyo raia wa maeneo hayo.
Kuteswa kwa raia wa maeneo hayo si kwasababu ya lugha yao bali kutumika na Moscow kuu destebilise Kiev.
 
Yaan kwa mfano leo kagera ifanye refererendum ya kujiunga na uganda hivi hata wewe ungekuwa rais wa Tz ungekubali?
Vitu vingine ni vizuri kuviongelea kwa uhalisia na kuweka ushabiki pembeni.
 
Hapo penyewe washakaza matako na washachoka
 
Ngoja tusubiri tuone! Lakini nadhani utakuwa mkutano wa kunywa chai pamoja kati ya Putin na Trump!
Hakuna kitakachobadilika kama masharti ya Russia hayatatimizwa.
 
Ulikuwepo .......?? Zelensky hana shida na urusi .........ila urusi inashida na ukrein........kama urusi wanajiona superpower wamrudishie zele zile nuclear zake harafu wauone mziki.......
 
Sawa Putin wa Kibaigwa.
 
Ulikuwepo .......?? Zelensky hana shida na urusi .........ila urusi inashida na ukrein........kama urusi wanajiona superpower wamrudishie zele zile nuclear zake harafu wauone mziki.......
Sijui hata kama unajua unacho zungumza hapa: eti "Urusi ina shida na Ukraine,je,hii ni kweli?? unakwenfa mbali zaidi na kudai eti: "Urusi inajiona ni Super Power" labda nikuhoji swali dogo, ebu twambie ni mataifa mangapi hapa Duniani ambayo Amerika ililazimika kukaa nayo meza moja kuzungumzia kupunguza idadi ya nuclear ICBM, idadi ya Submarine,idadi ya bombers zinazo beba nuclear cruise missiles na tactical gravity nuclear bombs nk,halafu wewe unakuja hapa na kujifanya hujui kwamba Urusi ni Super Power!!

Trump mwenyewe anajuwa vizuri sana uwezo mkubwa wa kijeshi wa Taifa la Urusi, kwa taarifa yako Urusi ndilo Taifa pekee hapa Duniani linalo weza kuifuta Merikani kutoka kwenye uso wa Dunia, halafu baadhi ya nyie watu baki
mnaichukulia Urusi kimzaa mzaa tu.

Nikwambie kitu: Zelensky na genge lake la Viongozi wa EU na Uingereza wakifanya mchezo wa kutaka kumvimbisha kichwa Zelensky ili akatae mambo ya usuruhishi basi akae akijua kwamba Ukraine nzima itatekwa na kukaliwa na Urusi na wala Merikani haitakuja kumsadia Zelensky na genge lake.

Kitu kingine kumbuka kwamba viwanda vingi na infrastructures karibu zote zilizopo Ukraine zilijengwa na ma Injinia wa Urusi. Halafu ebu chukua ramani ya Dunia, hivi unajua Taifa la Urusi lina cover land mass ya ukubwa gani Duniani?? Sasa linganisha Land mass ya Taifa la Ukraine si linaonekana kama dagaa kwenye maji ya Bahari , leo hii ndiyo udai kwamba Urusi ina nia ya kukwapuwa/pora asili mia ishirini ya kusini mashariki mwa Ukraine inayo kaliwa na raia wengi wenye asili ya Urusi na wanazungumza kirusi, wao ndio waliomba msaada kutoka Serikali ya Urusi baada ya kunyanyaswa,kubaguliwa na kuuwawa kwa wingi na jeshi la KINAZI/AZOV, kwani nani ambaye hajui ukweli huo, hapa mnaji baraguza na kumfanya muuaji na mkatiri Zelensky ni mtu wa maana!!

After all imekwisha pitishwa referendum ya raia wanao ishi kusini
mwa Ukraine kujiunga na Urusi kama zamani na wengi wao wamekubali kuungana na Urusi, kwani tatizo liko wapi?? na wala hawajasema wapewe Ukraine nzima, hata Trump anakubaliana na hoja zao, lakini anaishauri Urusi walao irudishie majimbo mawili Ukraine, sasa unataka kusema Trump hajui
alisemalo na wala hajagunduwa undani wa matatizo unasabaishwa na nini? Mbona Trump tangu aingie madarakani pamekwisha suruhisha migogoro mingi Duniani, kwani atashindwa wa Ukraine ambao wala hauna ukubwa sana wa kuifikia a mythical Chimera say!!

Kwani nani ambaye hajui kwamba tatizo lonakuzwa na maslahi binafsi ya Viogozi wa EU na Uingereza hao ndio hawataki mgogoro huu usitishwe nia yao ni kutaka kuikomoa Urusi na kutisha tisha raia wao kuhusu tishio la Urusi barani Ulaya ulaghai mtupu vile vile wanamwambia uongo mwingi Trump kwa lengo la kumwaribia sifa Putin na Urusi yenyewe.

Uzuri Trump amekwisha ushitukia unafiki wao viongozi hawa wa EU na Uingereza na amekwisha vile vile kupata habari kuhusu hujuma zinazo sukwa na viongozi hao ili mkutano baina ya Trump na Putin husifanikiwe huko Alaska, wamekwisha panga kufanya mambo ya ugaidi kwa kuuwa watu kwenye maeneo yanayo kaliwa na watu wengi na hata mahospitalini kwa kutumia Drones, mizinga ya 155mm, Missiles nk, halafu waje waisingizie Urusi kwamba ndiyo imetekeleza ugaidi huo wakiwa na imani kwamba tukio hilo litasababisha mkutano wa Trump na Zelensky kuvunjika - uzuri Trump amekwisha pewa habari kuhusu njama zote hizo, nina hakika atawapigia simu mmoja mmoja na kuwapa onyo kali akina Zelensky na genge lake la Viongozi wa EU na Uingereza na Waingereza ndio wanahusika sana katika masuala ya kuratibu ugaidi na hujuma nyingine dhidi ya Urusi.
 
Sasa unataka kubishana na Trump na wasaidize wake ambao Trump alikuwa anawatuma mara nyingi tu kujadiliana na team ya Zelensky kwanza halafu baadae na team ya Putin ili kungamua kiini cha titizo kinatokana na nini hasa - muda wote washauri wa Trump walikuwa wana mwambia hili kutatua tatizo hili afanye nini, siyo kwamba Trump anakurupuka tu na kutoa mapendekezo yake, sasa Zelensky na washauri wake ambao ni viongozi wa EU na Uingereza wakimwambia apuuzie ushauri wa Trump itakula kwake na hatapata usaidizi wowote kutoka Merikani na infact Merikani inaweza kusuka mpango wa kumuondoa madarakani Zelensky na kumsimika Mkuu wa zamani wa majeshi ya Ukraine ambaye siku hizi ni barozi nchini Uingereza, huyo ndiye Merikana inaona wanaweza kujadiriana naye na kufikia muhafaka wa amani ya kudumu na siyo huyu Zelensky mwenye fani ya muigizo ya
vichekesho kwenye TV basi, ndio maana uendeshaji/utawala wa Taifa lake umemshinda kweli kweli kazi kuwashinikiza vijana wadogo, wazee
na akina mama eti waende vitani kukomboa Taifa lake, yaani hana hata UTU, wamekufa vijana wengi wa Ukraine vitani lakini Zelensky amekataa hata kuchukua maiti zao kwenda kuzizika kwa heshima eti hana fedha za kulipa fidia familia za wafiwa -would you believe it!!
 
Aliyeamua ni Putin siyo raia wa maeneo hayo.
Kuteswa kwa raia wa maeneo hayo si kwasababu ya lugha yao bali kutumika na Moscow kuu destebilise Kiev.
Mkuu kwani neno referendum linamaanisha nini?? Labda tuanzie hapo.
 
Propaganda pro max. Kiongozi wa nchi ni Zelensky hata kama humpendi.

Ni ujinga kukubali Marekani waruhusu ardhi ya nchi nyingine itwaliwe na russia.

Mi bado nasema wapigane mpaka mwisho hata ikiwa kwa fimbo wasikatushwe tamaa kupigania taifa lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…