Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Do you know ni kiasi gani cha fedha pamoja na silaha Merikani alicho changia Ukraine katika vita hii na bado anaendelea kuchangia mpaka sasa ingawa Trump kapinguza kidogo??Propaganda pro max. Kiongozi wa nchi ni Zelensky hata kama humpendi.
Ni ujinga kukubali Marekani waruhusu ardhi ya nchi nyingine itwaliwe na russia.
Mi bado nasema wapigane mpaka mwisho hata ikiwa kwa fimbo wasikatushwe tamaa kupigania taifa lao.
Usitoe rushwa ili upige au usipige kura. Piga 113 kutoa taarifa za rushwaHiyo ardhi itafanya eneo hilo lisitulie kama palestine na israel.
Ni mjinga pekee atakubali ardhi yake ipokwe kwa kisingizio cha amani, hakuna amani pasipokuwa na haki.
Urusi mwenyewe anasaidiwa na Irani, north korea na china so hamna cha ajabu ukraine kusaidiwa,Do you know ni kiasi gani cha fedha pamoja na silaha Merikani alicho changia Ukraine katika vita hii na bado anaendelea kuchangia mpaka sasa ingawa Trump kapinguza kidogo??
FYI hakuna Taifa lolote linalo ifikia Merikani kuchangia kwa hali na mali katika vita inayo endelea Nchini Ukraine - kwa akili za kawaidi uwezi kupuuzia ushauri wa mtu anaye kupatia msaada mkubwa kiasi hicho, in other words USA is playing a pivotal role katika mgogoro huu kwa hiyo ushauri wake unapashwa kuchukuliwa seriously unless kama una akili fyatu kama za Zelensky na Zelensky hasipo kuwa makini akaendela kupingana na Trump kwa kushauriwa vibaya na Viongozi wa EU na Uingereza mwisho wa siku atajikuta inakula kwake na wala washauri wake hao pandikizi hawataweza kumsaidia lolote/chochote especially when the going starts getting tough, na hicho ndicho kinacho endelea hivi sasa kwenye frontline.
Hivi unajua ni wanajeshi wangapi wa Ukraine wanapoteza maisha kila siku hapo mpakani? Ni kubwa mno uwezi amani kama kweli Zelensky has a Soul!!
Wazanzibari wananufaika 90% na muungano kuliko hata Tanzania bara.Upuuzi tupu ulichoandika hapa.
Mathalani, Ukweli mchungu Sana kuhusu Tanzania ni kwamba, Wazanzibari wengi sana kama siyo wote kabisa hawapendi kabisa kuwa sehemu ya nchi ya Tanzania, bali wanapenda wajipatie Uhuru wao, wajitawale wao wenyewe na kuwa Taifa huru la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar lenye kujiamulia Mambo yake.
Je, kwa nini Wazanzibar hawaasi Utawala wa nchi hii ili wawe Taifa huru??
Kwa nini hawafanyi hivyo???
Well said. hamna cha ajabu!! Wapi nimesema kuna cha ajabu?Urusi mwenyewe anasaidiwa na Irani, north korea na china so hamna cha ajabu ukraine kusaidiwa,
Urusi na yenyewe inapoteza wanajeshi tena wengi tu so hamna cha ajabu hapo
Kama ni kujaribu hapo sawa...atajaribu