Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba,
Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea muhula mwingine na anasisitiza ni jambo analolifikiria serious kwani zipo njia za kufanikisha hilo!
Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea muhula mwingine na anasisitiza ni jambo analolifikiria serious kwani zipo njia za kufanikisha hilo!