Trump asema hatanii kugombea muhula wa tatu wa urais

Trump asema hatanii kugombea muhula wa tatu wa urais

Huyu mzee ilitokea makosa tu akazaliwa mzungu, ana mentaity za kiafrika kabisa. Sheria za kumdhibiti Rais US zingekua butu kama Afrika huyu mzee ni typical JPM kabisa

Sema hata mimi sionagi umuhimu wa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka kadhaa kama kiongozi aliyepo anaenda vizuri mfano Libya ile kama ya Gaddaffi kulikua na umuhimu gani wa kufanya uchaguzi.

Kukiwa na mfumo mzuri wa kufanya check and balance sioni kama kuna haja ya kufanya uchaguzi kila baada ya muhula ikiwa Rais aliyepo anaenda vizuri.
 
Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba,

Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea muhula mwingine na anasisitiza ni jambo analolifikiria serious kwani zipo njia za kufanikisha hilo!

View attachment 3288379
atatumikia miaka miwili tu ya huu muhula miaka miwili mingine na huo muhula wa 3 atatumikia akiwa kaburini
 
Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia.
,🤣🤣🤣🤣

We jamaaa bhana! Nimecheka sana hii sentes yako
 
Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba,

Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea muhula mwingine na anasisitiza ni jambo analolifikiria serious kwani zipo njia za kufanikisha hilo!

View attachment 3288379
Mwenzake Magufuli walishaanza kumpigia kampeni hivihivi akajifia mbali huko.
 
I think he is trolling, although it’s unbecoming of him to be doing it over and over.

He is not as smart as he thinks he is, but he’s not that dumb either.

He knows by saying that some people will lose their minds, especially the media that he despises so much!
 
Trump ndo ngozi halisi ya kilichomo kwa mzungu since kabla ya ukoloni,hata weusi kuitwa wamarekani/waigereza inawaumaga sana
 
Interview nyingi na speechs za Donald Trump's,

Vyombo vya habari vingi vinazichakachua sana,hawaripoti kwa usahihi, Wana omit, wanatia chumvi na Kutafsri tofauti.

Donald J anakazi kwelii kwelii.

By the way, Donald Trump's ni matokeo ya desperated peoples, (Kijamii & Uchumii nk.).

Karata ya turufu Sasa ni Ushuru, ushuru, ushuru,

Tariffs imekuwa Golden stick ya Donald J Trump's.

Donald J Trump's -Incompetent & Clueless.
 
Kuna hatari kwa hilo taifa likaungia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
Katiba yao inamruhusu Trump. Ila aache Tabia za KiCCM.
 
Back
Top Bottom