Trump asema hatanii kugombea muhula wa tatu wa urais

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano wa yeye kugombea muhula wa tatu kinyume na katiba,

Trump anasema raia wengi wanamuhitaji kugombea muhula mwingine na anasisitiza ni jambo analolifikiria serious kwani zipo njia za kufanikisha hilo!

 
Ccm tunafurahi kimyakimya
 


Shauri yao!
 
Safari hii Wazungu wamepatikana.
 
Duh!...huyu Babu kiboko .
 
Majimbo tu ya marekani nikama washirika wake zaidi ya 50.
Bila washirika hatoboi,hatoenda pigana na yeyote,maana yake kambi zake ulaya itabidi zifungwe, halafu wakiacha tekeleza vikwazo anavyiwekaga,anakua nyoka wa kibisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…