DuhMarafiki wa kufa na kuzikana.
Wao ndio wameishambulia Iran leo. Israel ni proxy ya Marekani kwa sasa.Rais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.
Watu wakishiba huwa wana shida sanaRais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.
Niliuliza hili swali jana kwenye uzi fulani baada ya kuona comment ya mfia dini mmoja; my question was, "vita kati ya Israel na Hamas/Hezbollah/Houthis or vita kati ya Israel na Iran (walikua bado hawaja shambuliana ) vina uhusiano gani na dini? Yaani watu wanatetea ardhi zao, how do we connect this type of war with religion? Niliwa quote baadhi ya wana dini wanieleweshe hili, bado nasubiri jibu kwakweliWatu wanashangilia vita kama derby . Vita vinaongezeka duniani, mafuta yatapanda bei na bidhaa zitaongezeka bei. Vita ya Israel na Iran itakuwa multi-continents
Hakuna kitu nachukia kama vitaNdivyo tulivyo watu
Siku chache kabla Trump alitaka iran kutokuendelea na mpango wao wa nuclear akisema inahatarisha Imani ya Dunia ,,Kuna kitu inapikwa hapa Israel anetumwa na marekaniRais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.