Mkongwee
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 917
- 2,015
Mambo ya kuhusisha hiyo migogoro na dini iko kwetu huku ambapo uwezo wa watu kufikiri ni mdogo, na kuna watu wanashanglia umwagikaji wa damu na mauaji kisa tuu ushabiki wa kidini....Niliuliza hili swali jana kwenye uzi fulani baada ya kuona comment ya mfia dini mmoja; my question was, "vita kati ya Israel na Hamas/Hezbollah/Houthis or vita kati ya Israel na Iran (walikua bado hawaja shambuliana ) vina uhusiano gani na dini? Yaani watu wanatetea ardhi zap, how do we connect this type of war with religion? Niliwa quote baadhi ya wana dini wanieleweshe hili, bado nasubiri jibu kwakweli
Binadam haswa ngoz nyeusi tuna dunia yetu kivyetu vyetuu