Trump asema marekani itajilinda na kumlinda Israel

Mambo ya kuhusisha hiyo migogoro na dini iko kwetu huku ambapo uwezo wa watu kufikiri ni mdogo, na kuna watu wanashanglia umwagikaji wa damu na mauaji kisa tuu ushabiki wa kidini....
Binadam haswa ngoz nyeusi tuna dunia yetu kivyetu vyetuu
 
USA amemtanguliza ndugu yake akachokoze ugomvi ili iwe rahisi kwake kuingia Kwa mlango wa nyuma
 
mambo nayo pendaga
watu washa kaa kwa amani muda hadi wamekuwa kama mazombi,wacha zichapwe kwanza ili siku nyingine wajue umuhimu wa amani
 
Israel kufika hadi kutumia ndege 200 na zote zimerudi salama ni makosa ya Iran na Urusi
 
Mambo ya kuhusisha hiyo migogoro na dini iko kwetu huku ambapo uwezo wa watu kufikiri ni mdogo, na kuna watu wanashanglia umwagikaji wa damu na mauaji kisa tuu ushabiki wa kidini....
Binadam haswa ngoz nyeusi tuna dunia yetu kivyetu vyetuu
Sahihi kabisa, ni huku kwetu Africa ndio tunahusisha dini na middle east crisis
 
Israel kufika hadi kutumia ndege 200 na zote zimerudi salama ni makosa ya Iran na Urusi
Ndo nachoshangaa zaidi, inamaana ADS za Iran zinafanya kazi gan
 
Siku chache kabla Trump alitaka iran kutokuendelea na mpango wao wa nuclear akisema inahatarisha Imani ya Dunia ,,Kuna kitu inapikwa hapa Israel anetumwa na marekani
Wayahudi wa Jf hawataki kuamini hivyo,kwamba Israel ni mtumwa wa bwana!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…