JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 1,118
- 2,581
CHANZO CHA PICHA, EPA
Maelezo ya picha, Trump
Donald Trump anasema kumekuwa na "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili " kwa mzozo wa Mashariki ya Kati.
Anasema "ataahirisha mashambulizi yoyote dhidi ya mitambo ya nishati ya Iran na miundombinu ya nishati" kwa muda wa siku tano.
Katika chapisho la TruthSocial lililoandikwa kwa herufi kubwa anasema: ""Ninafurahia kuripoti kwamba marekani, na nchi ya iran, kwa siku mbili zilizopita, tumefanya mazungumzo mema sana na yenye tija kuhusu ushirikiano na utajiri katika mashariki ya kati.
" kulingana na mazungumzo haya kwa kina, na mazungumzo yenye kujenga, ambayo yataendelea wiki nzima, nimeiagiza idara ya vita kuahirisha mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya iran kwa kipindi cha siku tano, huku mazungumzo yakiendelea .
AHSANTE RAIS DONALD J. TRUMP"
#Source BBC Swahili