Trump alipoona tu hii mikakati akaufyata mkia.
kaona pamoto hapa , muajemi hataniagiTrump alipoona tu hii mikakati akaufyata mkia.
Walifikiri Muajemi ni Hamaskaona pamoto hapa , muajemi hataniagi
Umuamini ili iweje?Tatizo haeleweki huyu mzee.. ni ngumu sana mimi kumuamini kila anachosema
Pia alisema hii vita amesha shinda,sasa wanapatana nini tena wakati vita amesha shinda? Huyu nae kama Kinyonga tu,hatulii na rangi moja,Sialisema viongozi wa kuzungumza nao huko Iran hakuna wote wamekufa!! 😀😀
Now amezungumza na nani Sasa !?
Maji ya shingo now anatapa tapa
Alipima kina cha Bahari kwa kijiti.Walifikiri Muajemi ni Hamas
Wayahudi weusi wa Buza wanasema wao wanalindwa na Mungu wa Israel wakati Israel mwenyewe analidwa na US na silaha za kupewa na US na misaada ya fedha kila mwaka.Wayahudi wa Buza wapo wapi aisee
Mshenzi sanaPia alisema hii vita amesha shinda,sasa wanapatana nini tena wakati vita amesha shinda? Huyu nae kama Kinyonga tu,hatulii na rangi moja,
Iran hawamuamini tena huyu,wapo stanby 24/7
Una igore ex military ambao walikuwapo kwa ground afganistani, iraq, tena ukawafukuza ? Ukaweka wapambe?CHANZO CHA PICHA, EPA
Maelezo ya picha, Trump
Donald Trump anasema kumekuwa na "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili " kwa mzozo wa Mashariki ya Kati.
Anasema "ataahirisha mashambulizi yoyote dhidi ya mitambo ya nishati ya Iran na miundombinu ya nishati" kwa muda wa siku tano.
Katika chapisho la TruthSocial lililoandikwa kwa herufi kubwa anasema: ""Ninafurahia kuripoti kwamba marekani, na nchi ya iran, kwa siku mbili zilizopita, tumefanya mazungumzo mema sana na yenye tija kuhusu ushirikiano na utajiri katika mashariki ya kati.
" kulingana na mazungumzo haya kwa kina, na mazungumzo yenye kujenga, ambayo yataendelea wiki nzima, nimeiagiza idara ya vita kuahirisha mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya iran kwa kipindi cha siku tano, huku mazungumzo yakiendelea .
AHSANTE RAIS DONALD J. TRUMP"
#Source BBC Swahili