Trump ashinda case ,Democratic party wanatapatapa hawana mshindani .

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Kwa wale mnaofuatilia case ya Trump kuondolewa madarakani .Senators voted no witness kwa hiyo wanakura za kutosha kutomhukumu Trump na kumuondoa .Kwa Democratic Party na media ni kilio maana Democratic Party hawana mtu wa uhakika wa kumshinda Trump 2020.Bernie Sanders is a socialist atapigwa chini kama uk election .usa is a capitalist country .SASA inakuwaje wanashindwa kumtafuta mtu wa uhakika .Trump ni ana sera nzuri ila Tabia na maugomvi yasiyoisha sio mazuri .Wafanyaje haswa kumuondoa?
 
Siasa za Marekani hawa Democratics wamezifanya zimekuwa kama za nchi zetu yani ugomvi wao na trump umekuwa personal sasa siyo siasa tena
 
Kura ya kumtia hatiani na Kumuondoa Madarakani au la itapigwa JUMATANO Tarehe 5.
Kura ya Jana ilikuwa inahusu kuruhusu kuletwa kwa Ushahidi Zaidi au kuita mashahidi zaidi.
Hata hivyo matokeo yeyote ya kura ya Jana yasingeathiri Matokeo yanayotarajiwa ya kura ya JUMATANO.
Kiuhalisia suala hili limeendeshwa kwa kutazama ushabiki wa itikadi za Vyama na hivyo kupoteza umaana wake.
Demokrat waliamini mchakato huu utawasaidia kuwajenga Kisiasa Lakini imekuwa kinyume kidogo.
Kiuhalisia hawana mgombea anayeweza Kupambana na Trump.
 
Siasa za Marekani hawa Democratics wamezifanya zimekuwa kama za nchi zetu yani ugomvi wao na trump umekuwa personal sasa siyo siasa tena

Baadhi ya wabunge wa Democratic party hawakati tamaa - hivi sasa wamekwisha buni mbinu mpya ya kumkalia Trump kooni kwa mara nyingine tena kwa kutumia mwanamke anae mtuhumu Trump kwamba alimdhalilisha takribani miaka thelathini iliyo pita, eti "Trump alimtomasa tomasa uchi wake" bila ya ridhaa yake!!
 
Hata kipindi cha uchaguzi walisema sana ila amekua the president
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wabunge wa Democratic party hawakati tamaa - hivi sasa wamekwisha buni mbinu mpya ya kumkalia Trump kooni kwa mara nyingine tena kwa kutumia mwanamke anae mtuhumu Trump kwamba alimdhalilisha takribani miaka thelathini iliyo pita,
Na hapo ndipo watakizika chama hicho cha Demo!
 

Hapo jamaa walikuwa wamepanga kumtumia Bolton kama shahidi - sina shaka Bolton alisha kula njama na maadui wa Trump kuwasilisha ushahidi wa kutunga tu, nia yake hasa ni kutaka kulipiza kisasi baada ya kutumbuliwa na Trump mwaka jana.

Tushukuru Mungu, kwanza, kwa Trump kutowekea maanani ushauri wa Bolton wa kutaka US ivamie Mataifa ambayo yanaonekana ni washindani wa Marekani katika masuala ya Geopolitics - pili, tushukuru Trump kuchukua a bold step ya kumtimua Bolton unceremoniously na kumkata ngebe, jamaa huyu alikuwa ni hatari sana kwa amani Duniani, nakubaliana na Trump by 100% kwamba Bolton angeweza kusababisha vita vya sita vya Dunia - statement hiyo inaweza kuonekana kama kichekesho vile, lakini hiyo inadhilisha kwamba Trump alishachoshwa na arrogance za Bolton na kuwa overly bellicose.
 
Hata hiyo 5/2 Trump atashinda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tajiri anaitwa Michael Bloomberg kwa democrate nae anauwania uraisi
 
Ilikuwa ngumu kumtoa, nguvu ya democrats ipo kwenye congress kwenye senate ni minority hivyo isingewezekakana kushinda kwenye senate
Tatizo, huelewi Congress ni nini ktk Marekani ila jifariji tu kwa kuwa hauko peke yako, mko wengi sana wa hivyo.
 
Mchezo unaisha jumatano kwa kishindo zaidi, jumatano
Jumatano zinahitajika kura 67 kumtoa trump, HAITAWEZEKANA
 
Tatizo, huelewi Congress ni nini ktk Marekani ila jifariji tu kwa kuwa hauko peke yako, mko wengi sana wa hivyo.
Nilimaanisha house of representative ndipo ilipo nguvu ya democrats ila kwenye senate republican ananguvu kubwa
 
Nilimaanisha house of representative ndipo ilipo nguvu ya democrats ila kwenye senate republican ananguvu kubwa
Wana mabunge mawili; Senate na House of Representatives ila wanapokaa mabunge yote mawili ndipo linapoitwa The Congress.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒwazungu hamnazo.... katika hao wanaompinga trump..hakuna mbunge ambaye amewahi kumtomasa mwanamke bila ya ridhaa yake ?
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒwazungu hamnazo.... katika hao wanaompinga trump..hakuna mbunge ambaye amewahi kumtomasa mwanamke bila ya ridhaa yake ?

Ni wengi tu walio wahi kudhalilisha wanawake, tatizo hapa wa Demo wamekwisha ona kwamba hoja zao za kubuni hazina mshiko, ndio maana wanatapa tapa kama mfa maji kujaribu plan B ya kumu-corner TRUMP at all cost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ