Kwa wale mnaofuatilia case ya Trump kuondolewa madarakani .Senators voted no witness kwa hiyo wanakura za kutosha kutomhukumu Trump na kumuondoa .Kwa Democratic Party na media ni kilio maana Democratic Party hawana mtu wa uhakika wa kumshinda Trump 2020.Bernie Sanders is a socialist atapigwa chini kama uk election .usa is a capitalist country .SASA inakuwaje wanashindwa kumtafuta mtu wa uhakika .Trump ni ana sera nzuri ila Tabia na maugomvi yasiyoisha sio mazuri .Wafanyaje haswa kumuondoa?