Trump assassination attempt VS Lisu Assassination attempt: Similarities and Differences

Trump kaitengeneza hiyo kujijenga kisiasa🙄😜
 
Trump alikuwa anafanya kampeni na kupigania maslahi ya taifa lisu alikuwa anapigania MIGA ,acha kufananisha mzalendo Trump na vijiti vya hovyo

USSR
Eti mzalendo wakati lijamaa ni li dikteta.
 
Lisu alikuwa akiitisha serikali kwa kusema itashitakiwa miga mda wote alikuwa akitetea wazungu waendelee kupora madini yetu trump yeye anatetea taifa lake
Leo Waarabu na Wachina wanaopora nchi kawaleta Lisu???
 
we mshenzi mkubwa. sasa bandari ziko wapi? misitu ko wapi? loliondo iko wapi? etc etc
Ni kweli Lissu ni kitu gani alitishia hakijatokea?Alisema tutashtakiwa na kweli tumeshtakiwa au hakumuona prof Mruma alivyotia huruma kwenye utetezi wake?Mbona kuna mijitu inajisahaulisha hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…