Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
chizi?FDA wamemshangaa huyu chizi anaongea kitu wataalam hawakijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chizi?FDA wamemshangaa huyu chizi anaongea kitu wataalam hawakijui
Dakika chache tu zilizopita, Rais wa Marekani Bw. Donald J. Trump, katangaza kuwa shirika la madawa la Marekani, FDA, limeruhusu dawa ya malaria, ambayo wengi wetu tumeitumia sana, kuanza kutumika katika kutibu virusi vya Corona.
Chloroquin, ndo dawa yenyewe. Matumizi yatakuwa kwenye hatua ya clinical trial.
Idadi ya vidonge vya chloroquin nilivyovimeza maishani mwangu haihesabiki. Achilia mbali sindano zake. Dozi ya sindano ilikuwa ni 1x3.
Hats off kwa “mabeberu”.
Sisi tuna wachawi wengi sana na waganga wengi tu wa kienyeji.
Kama kweli hawa wataalamu wetu wana huo ujuzi ambao hudaiwa wanao, kwa nini washindwe kwenye hili la kutibu Corona?
Heko Marekani. Mchango wake kwenye advancement of humanity hauelezeki kwa maneno.

Heshima mkuu Nyani Ngabu nimekuwa na naendelea kukuhusudu kwenye ujenzi wa hoja kwa hiyo ninayo furaha kuu kubadilishana mawazo au kunielimisha ukipenda ,toka mwanzo nikijua korona ni mchezo wa kuwapa walimwengu HOFU kwa ajili ya maslahi fulani,kama ilivyokuwa septemba 11 walimwengu wamepoteza matrilioni ya pesa pamoja na uhuru.Utafiti wa chloroquin kutibu corona virus hajathibitisha kuwa hiyo dawa ndo tiba.
Bali, utafiti huo umetoa matumaini kidogo, kuwa, hiyo dawa imeonekana kuleta nafuu kwa walio wagonjwa.
Tafiti zaidi zinahitajika ili kupata ithibati.
Maoni ya Dr. Fauci hayatofautiani na matokeo ya hizo tafiti zako.
Mpaka sasa corona virus haina tiba. Na kusema ukweli, magonjwa mengi yenye kusababishwa na virusi, hayana tiba.
Ila, kama watu mnaona chloroquine ndo tiba, waambieni Watanzania waache kuogopa. Wameze tu chloroquin na watapona na maisha yataenda kama ilivyo ada.
yaan ukiwa unakaribia kupona muwasho wa hiyo dawa haumithiliki na kwabahati mbaya unazidi usiku wakati wa kulala huku masikio yakiwa yamejazwa kelele usiyojua imetoka wapi
Asili ya neno Malaria ni 'mal air'(bad air), Wazungu baada ya kufika Africa na kuugua waliona ni hewa mbaya
Uchawi siku hizi umeendelea kuna uchawi wa kukufanya ukienda hospitali unaonekana na maradhi ya Ukimwi, uchawi mtu anarogwa anakuwa na ugonjwa wa Malaria uchawi mtu anarogwa anakuwa ana ugonjwa wa kisukari, uchawi mtu anarogwa anakuwa na ugonjwa wa presha. Wee usicheze na uchawi ni hatari sanaHivi mtu anaweza kurogwa akapata malaria?
Yenye kelele masikioni ni Quinine,utakua umechanganya kidogoyaan ukiwa unakaribia kupona muwasho wa hiyo dawa haumithiliki na kwabahati mbaya unazidi usiku wakati wa kulala huku masikio yakiwa yamejazwa kelele usiyojua imetoka wapi
Sema "su" nikuroge kesho uamke na malaria we msukumaHivi mtu anaweza kurogwa akapata malaria?
Hawa watu hawa, ni kama walivyotukataza matumizi ya DDT, kumbe wao walitumia kuua mbu wote na masalia yake, tukabakia na mbu wetu tukome na malaria.