Hizo pesa za USAID hadi huko Chadema zilifika ujue kwa kisingizio cha kuimarisha demokrasia nkKwenye ile nchi ya kusadikika inayoongozwa na kile chama chakavu, hizi fedha walizitumia kutengeneza kofia, t-shirt, khanga na vipeperushi vyenye rangi ya kijani na njano. Ndio maana Trump kakasirika na huu ujinga wa chama chakavu
Mkuu, kwani kuna kosa lolote kufadhili juhudi za kuimarisha demokrasia?Hizo pesa za USAID hadi huko Chadema zilifika ujue kwa kusingizio cha kuimarisha demokrasia nk
Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi wa Marekani waliyalitumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia Africa
Msikilikilize kuanzia dakika 1:20 akianza kutema cheche
Nyingi zilikua zinarudi kwa hao hao viongozi wa Marekani, dau linatoka kubwa ila kinachowafikia sisiem & chadm ni tone baharini.Mkuu, kwani kuna kosa lolote kufadhili juhudi za kuimarisha demokrasia?
Badala ya kuomba chama kitoke darakani?Naomba obama akamatwe kwa ufisadi😎
Hujui chochote kuhusu kilimo,mbegu zetu zinakwisha!?..saro ni mbegu ya nani?.. hakuna mbegu zetu kwenye mahindi?..hujui hata kuwa tuna taasisi ya kutafiti na kuzalisha mbegu!?..hizo mbegu unazodai ekari moja zinatoa gunia 25, mbegu mpya ekari moja gunia 40,zitumike zipi?Mambo Haya yalishasemwa sana. Alianza kufanya mzilankende mmoja kwa kutafuta wafanyakazi hewa, wastaafu hewa, wanufaika hewa nk. Trump ashikilie hapohapo na nchi zetu zipone na mambo ya hovyo yanayoletwa kutoka ulaya. Tazama kwenye kilimo kwa mfano, Mbegu zetu zinakwisha na tunabakiwa na mbegu za kisasa karibia kwa kila zao mambo ya hovyo kabisa haya.
Let's wait and see, the aftermath is what will justify whatever the means and procedures his government is doing.Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi wa Marekani waliyalitumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia Africa
Msikilikilize kuanzia dakika 1:20 akianza kutema cheche
Hakuitaja Tanzania lakini. Endelea kuunga.Kwenye ile nchi ya kusadikika inayoongozwa na kile chama chakavu, hizi fedha walizitumia kutengeneza kofia, t-shirt, khanga na vipeperushi vyenye rangi ya kijani na njano. Ndio maana Trump kakasirika na huu ujinga wa chama chakavu
Ndio. Zinachochea uasi. Kitu ambacho Trump amekiita....mambo ya hovyo.Mkuu, kwani kuna kosa lolote kufadhili juhudi za kuimarisha demokrasia?
Ni kweli.Hii audio ni ya kweli? sio AI audio kweli?
Kuna habari kataja hapo ya machoko Lesotho na tohara Msumbiji ni kama feki hivi, nimeishia hapo kusikiliza
Ameeleza kuwa hilo dirisha linatumika kuiba pesa za walipa kodi wa marekani kupitia mafisadi ya marekaniNdio. Zinachochea uasi. Kitu ambacho Trump amekiita....mambo ya hovyo.
Hata hivyo swali hilo lingemfaa Trump. Kwanini anakata misaada ya kuunga juhudi za kuimarisha Democrasia?
Kidogo kwa afya bora na kingi kwa kusababisha madhara makubwa kiafya, kipi kitumike hapo?Hujui chochote kuhusu kilimo,mbegu zetu zinakwisha!?..saro ni mbegu ya nani?.. hakuna mbegu zetu kwenye mahindi?..hujui hata kuwa tuna taasisi ya kutafiti na kuzalisha mbegu!?..hizo mbegu unazodai ekari moja zinatoa gunia 25, mbegu mpya ekari moja gunia 40,zitumike zipi?
Kwanza pamoja na mapungufu yake, ninashukuru sana uwepo wake.Ameeleza kuwa hilo dirisha linatumika kuiba pesa za walipa kodi wa marekani kupitia mafisadi ya marekani
Mfano ilishaelezwa siku nyingi zinatolewa pesa zinazoitwa za kuimarisha demokrasia haziendi cash bali zinatumika kifisadi kununua silaha kampuni za washikaji zao au zao na kuwapa waasi wa nchi husika waangushe serikali zao
Badala ya nchi kuwa ya kidemokrasia inakuwa ya vurugu tupu ikitawaliwa kwa mkono wa chuma hakuna cha demokrasia wala nini
Ndio maana kafuta.Miaka nenda rudi zinatolewa hizo pesa za kuimarisha kinachoitwa demokrasia na hakuna cha maana chochote zilicho achieve hizo hela
Hiyo ni non sense na haina uhusiano wowote ule na uhalisia. Ni maneno ya kufurahisha genge la wajinga wapiga kura wa Trump.walipa kodi wa marekani wameibiwa sana fedha zao na mafisadi wa huko huko marekani wakishirikiana na mafisadi nguli wa hapa afrika...
Haya ni maoni ya mdau kuhusu USAID afrika.View attachment 3259575