Na kuna wajinga hawakumpenda JPM kwa kazi kubwa alizokuwa anafanya. Sasa Wamarekani wanapita humo humo alimopita JPM. Rest in Power JPM.Mambo Haya yalishasemwa sana. Alianza kufanya mzilankende mmoja kwa kutafuta wafanyakazi hewa, wastaafu hewa, wanufaika hewa nk. Trump ashikilie hapohapo na nchi zetu zipone na mambo ya hovyo yanayoletwa kutoka ulaya. Tazama kwenye kilimo kwa mfano, Mbegu zetu zinakwisha na tunabakiwa na mbegu za kisasa karibia kwa kila zao mambo ya hovyo kabisa haya.