Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi waliyatumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia nchi za nje

Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi waliyatumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia nchi za nje

Unaonekana ni mfuasi wa mlengo wa kushoto mwenye maumivu makali sana moyoni, na ushindi wa Trump unakuuma mpaka leo.

BTW, kwa jinsi ulivyoandika hapo mwishoni hauna tofauti na wale watanzania wapuuzi much knowing waliojazana kule twitter(x) wakijiona kwamba wao ndio wana akili kuliko watanzania wengine hasa wanaotofautiana nao kimtazamo.
Na we kwa akili yako ndio ukaleta yale madudu😂😂😂😂😂

Nonetheless haibadilishi kitu.

Ulichokiweka kama ushahidi ama sababu za kusitishwa kwa misaada ni Non sense.

Kuwa na akili nyingi kama inakusumbua siezi nikakusaidia na hilo Tah tah
 
Mbona wote tutakufa hata wewe hapo lazima ufe tu!! No other way!
Ukifa kwa diginity ni sawa kabisa, lakini ukifa watu wanafurahi, watu wanasema bora umekufa siyo sawa.
Trump amefuta kazi maelfu ya watu na bado anaendelea kufukuza. Hawa watu wana familia, mikopo na madeni mengi: wataishije?, watalipaje?
 
Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi wa Marekani waliyalitumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia Africa

Msikilikilize kuanzia dakika 1:20 akianza kutema cheche

Huyu ndio maana walikuwa hawataki arudi.

Ila tu walizidiwa na mafuriko kumzuia asiwe raisi.
 
Ukifa kwa diginity ni sawa kabisa, lakini ukifa watu wanafurahi, watu wanasema bora umekufa siyo sawa.
Trump amefuta kazi maelfu ya watu na bado anaendelea kufukuza. Hawa watu wana familia, mikopo na madeni mengi: wataishije?, watalipaje?
Unafiiriki duniani unaweza kuwaridhisha wote!? Mungu mweyewe analalamikiwa na binadamu kila siku.!
 
Back
Top Bottom