Na kuna wajinga hawakumpenda JPM kwa kazi kubwa alizokuwa anafanya. Sasa Wamarekani wanapita humo humo alimopita JPM. Rest in Power JPM.Mambo Haya yalishasemwa sana. Alianza kufanya mzilankende mmoja kwa kutafuta wafanyakazi hewa, wastaafu hewa, wanufaika hewa nk. Trump ashikilie hapohapo na nchi zetu zipone na mambo ya hovyo yanayoletwa kutoka ulaya. Tazama kwenye kilimo kwa mfano, Mbegu zetu zinakwisha na tunabakiwa na mbegu za kisasa karibia kwa kila zao mambo ya hovyo kabisa haya.
Demokrasi gani wakati walikuwa wana advocate ushoga hata M/Kiti wenu Lissu aliunga mkono ushoga kwa sababu ya hizo pesa.Mkuu, kwani kuna kosa lolote kufadhili juhudi za kuimarisha demokrasia?
Lesotho ipo kwenye program ya LGBTQ+ tafuta kwenye Google au Website ya USAID pamoja na TZ. Mwakyembe na Team yake kwenye uchunguzi wao walishasema kuna NGO hapa TZ zilikuwa zilikuwa zinafanya kazi hiyo kupitia pesa za USAID.Hii audio ni ya kweli? sio AI audio kweli?
Kuna habari kataja hapo ya machoko Lesotho na tohara Msumbiji ni kama feki hivi, nimeishia hapo kusikiliza
Anaeleza mbinu walizokuwa wakitumia hao wapigaji katika kufisidi pesa za walipakodi wa Marekani. Angeweza pia kutaja pesa zinazotumika kujenga Matundu ya vyoo kwa baadhi ya nchi za huku kwetu Afrika. Mojawapo wa mbinu za wizi huo inahusu hifadhi ya jamii ambayo inadai kuna mzee moja mwenye zaidi ya umri wa miaka 360 ambaye hupewa malipo ya uzeeni. Kumbuka USA kama Taifa haijafikia umri huo toka ijitawale!Hii audio ni ya kweli? sio AI audio kweli?
Kuna habari kataja hapo ya machoko Lesotho na tohara Msumbiji ni kama feki hivi, nimeishia hapo kusikiliza
Wewe ndio mlikuwa mnanufaika na pesa za USAID. Sasa endelea kuumia Trump amezipiga stop.Hiyo ni non sense na haina uhusiano wowote ule na uhalisia. Ni maneno ya kufurahisha genge la wajinga wapiga kura wa Trump.
Ulitaka ataje nchi zote!!?Mbona wabong sijasikia specifically nmesikia Zambia mara mbili na Uganda
We ulitaka asitaje nchi zote?Ulitaka ataje nchi zote!!?
Hiyo ni hotuba, si itachukua muda mrefu sana kama atataja kila kitu? Hiyo ni hotuba siyo taarifa ya uchunguzi, kwenye taarifa ya uchunguzi ndipo utaona kila kitu kinachohusika. Be informed!We ulitaka asitaje nchi zote?
Ushamaliza hilo dukuduku?Wewe ndio mlikuwa mnanufaika na pesa za USAID. Sasa endelea kuumia Trump amezipiga stop.
Nafikiri kwa njia moja ama nyingine nimekuelimisha.Ushamaliza hilo dukuduku?
Trumpafu
Hapo lazma atakua kachagua zenye zimetumia pesa nying ndo kazitaja haiwezekan kweny hotuba amtaje alietumia milioni 2 alafu amuache alietumia milion 90 alafu usichoelewa ni kwamba hapo kweny comment yang nimeweke neno "specifically " implies kweny takwimu zake tumo ila hatupo sisi kama sisi ndo maan inesikia USAID ambayo hata sisi inatugusa. Punguza ujuaji kwa usioyajua.Hiyo ni hotuba, si itachukua muda mrefu sana kama atataja kila kitu? Hiyo ni hotuba siyo taarifa ya uchunguzi, kwenye taarifa ya uchunguzi ndipo utaona kila kitu kinachohusika. Be informed!
Tatizo hataki kuuliza apewe majibu.Hujui chochote kuhusu kilimo,mbegu zetu zinakwisha!?..saro ni mbegu ya nani?.. hakuna mbegu zetu kwenye mahindi?..hujui hata kuwa tuna taasisi ya kutafiti na kuzalisha mbegu!?..hizo mbegu unazodai ekari moja zinatoa gunia 25, mbegu mpya ekari moja gunia 40,zitumike zipi?
Unaonekana ni mfuasi wa mlengo wa kushoto mwenye maumivu makali sana moyoni, na ushindi wa Trump unakuuma mpaka leo.Hiyo ni non sense na haina uhusiano wowote ule na uhalisia. Ni maneno ya kufurahisha genge la wajinga wapiga kura wa Trump.
Unaongelea wale wapumbavu wanaomchukia JPM kwa sabab zao binafsi za kuharibiwa madili yao, japo wao huwa wanajificha kwa visababu vya sijui alikuwa dikteta, mara halinyima uhuru wa kujieleza na blah..blahNa kuna wajinga hawakumpenda JPM kwa kazi kubwa alizokuwa anafanya. Sasa Wamarekani wanapita humo humo alimopita JPM. Rest in Power JPM.
Trump mwisho wake ni sawa na wa Jiwe tu.Nyingi zilikua zinarudi kwa hao hao viongozi wa Marekani, dau linatoka kubwa ila kinachowafikia sisiem & chadm ni tone baharini.
Trump ameiga uongozi wa magufuli, inawezekana kipindi yuko benchi (Trump) alikua anamtazama sana magu.
Ngojeni tuanze kufa kwa UKIMWI ndio mtaacha kucheka.Hizo pesa za USAID hadi huko Chadema zilifika ujue kwa kisingizio cha kuimarisha demokrasia nk
Mbona wote tutakufa hata wewe hapo lazima ufe tu!! No other way!Trump mwisho wake ni sawa na wa Jiwe tu.
Sawa shithole!👆Waliomchagua Trump ni wajinga kama wewe tu.
Trumpafu