Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi waliyatumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia nchi za nje

Na we kwa akili yako ndio ukaleta yale maduduπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nonetheless haibadilishi kitu.

Ulichokiweka kama ushahidi ama sababu za kusitishwa kwa misaada ni Non sense.

Kuwa na akili nyingi kama inakusumbua siezi nikakusaidia na hilo Tah tah
 
Mbona wote tutakufa hata wewe hapo lazima ufe tu!! No other way!
Ukifa kwa diginity ni sawa kabisa, lakini ukifa watu wanafurahi, watu wanasema bora umekufa siyo sawa.
Trump amefuta kazi maelfu ya watu na bado anaendelea kufukuza. Hawa watu wana familia, mikopo na madeni mengi: wataishije?, watalipaje?
 
Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi wa Marekani waliyalitumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia Africa

Msikilikilize kuanzia dakika 1:20 akianza kutema cheche

Huyu ndio maana walikuwa hawataki arudi.

Ila tu walizidiwa na mafuriko kumzuia asiwe raisi.
 
Ukifa kwa diginity ni sawa kabisa, lakini ukifa watu wanafurahi, watu wanasema bora umekufa siyo sawa.
Trump amefuta kazi maelfu ya watu na bado anaendelea kufukuza. Hawa watu wana familia, mikopo na madeni mengi: wataishije?, watalipaje?
Unafiiriki duniani unaweza kuwaridhisha wote!? Mungu mweyewe analalamikiwa na binadamu kila siku.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…