Trump atawaumbua NSSF na PSSF

Huko NSSF hakuna mstaafu ambaye hajadhulumiwa. Tunafuatilia kupewa majibu ya mkato na dharau nyingi, mwisho tunamwachia Mungu.
 
Upo sahihi mkuu
 
Pinga kwa hoja.
mbona sheria iko wazi sana kwenye namna ya mtu kupata mafao yake nssf madam?

wala hakuna kubabaika wala kimbwelambwela, nssf ina uwezo mkubwa mno kuwalipa wanachama wake kwa mujibu wa sheria bila mchecheto wala kuweweseka kama mtoa hoja na wewe mlivyo na nongwa.

Trump hahusiki kwa namna yoyote ile kwasabb si mwanachama wa nssf🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…