Trump atawaumbua NSSF na PSSF

Trump atawaumbua NSSF na PSSF

Huko NSSF hakuna mstaafu ambaye hajadhulumiwa. Tunafuatilia kupewa majibu ya mkato na dharau nyingi, mwisho tunamwachia Mungu.
 
Kimekushangaza nini?

Miradi yote kisheria hufuata mifumo yote ya ajira kwa Tanzania. Watu wote walioajiriwa kwenye miradi yote inayofadhiliwa na USAID ni wanachama kwenye NSSF na kama wameazimwa toka serikalini/mashirika ya umma huwa wanachama wa PSSSF .

Kama hili hulijui Kaa kimya.
Upo sahihi mkuu
 
Pinga kwa hoja.
mbona sheria iko wazi sana kwenye namna ya mtu kupata mafao yake nssf madam?

wala hakuna kubabaika wala kimbwelambwela, nssf ina uwezo mkubwa mno kuwalipa wanachama wake kwa mujibu wa sheria bila mchecheto wala kuweweseka kama mtoa hoja na wewe mlivyo na nongwa.

Trump hahusiki kwa namna yoyote ile kwasabb si mwanachama wa nssf🐒
 
Back
Top Bottom