Trump atishia kusitisha uhusiano na China

Trump atishia kusitisha uhusiano na China

sasa nitarithi nikiwa nimekufa au ?
sasa umadahi tukifa milioni hata 10 hv mi nitabaki ?
Inawezekana unawaza kua utabaki halafu utamiliki (utarithi) viwanda vyote vya bhakresa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi kufanya hivyo maana China ni mshirika wake mkubwa kibiashara kumbuka China ina akiba kubwa sana ya fedha za kigeni duniani na mteja mkubwa wa bidhaa za kiteknolojia na kilimo kutoka Marekani.
 
China iliweka ukweli wa Takwimu.. nakumbuka tuliona video za watu wakianguka kwa ghafla mjini Uhan. Marekani muda huo ilikuwa ikitoa maneno ya fedheha kwa China. Na WHO ilikaa kimya utadhani tatizo halijawakumba wanadamu. Sote tutakumbuka juhudi za China zilikuwa za peke ake Ni kisiwa Cha Comoro pekee kilichomchangia mchina shilingi laki mbili pekee kwaajili ya mapambano. Mmarekani Ni mshenzi aliyotukuka afunge hiyo mipaka afe pekeake
 
Anangojea nini sasa [emoji16][emoji16] huyu mzee bana kweli hana akili timamu

Ila hakuna taifa linaloweza kukata mahusiano na UCHINA moja kwamoja kwasasa hakuna labda mbeleni hukooo...

Sent using My COVID-19
Vp yule wa chato ana akili ?

Dark Side
 
Marekani anaumia kwa raia wake kufa, huu ndo ukali wa adhabu ya mungu. Hajiulizi ameua wangapi Middle East na kuwaacha wangapi yatima.

Asitafute scapegoat, China sio sababu kabisa wa hilo janga.
 
Natizama sasa hivi BBC Swahili,uzalishaji China ktk viwanda umekuwa kwa 4% tokea waondoe lockdown.Naona hapo ndipo Trump anapopagawa,wakati yeye kasimama wenzake wameanza kukimbia.
Hili ndilo linalo muuma basi ila akikata uhusiano na CHINA ndio Ule mwisho wao US unazidi kujongea [emoji3][emoji16][emoji6][emoji2][emoji1]

Sent using My COVID-19
 
mi sioni makali ya corona maana kama mpaka sasa hatujafa hata laki 5 hv sasa hii ndio mnaita janga la dunia ?

yaani tasmini yangu nilijua ndani ya mwezi mmoja hapa kwetu tuko zaidi ya milioni 60 kwa haraka haraka mpaka sasa nilijua tungekua tumeshaondoka hata milioni 10 hivi ila mpaka sasa mimi katika ndugu,jamaa na marafiki naowajua hakuna hata mmoja mwenye ana corona au amekufa kwa corona.

sasa yowe za nini ?
Kwakua ushajua unaua watu wazima unaombea, afe mzazi urithi Mali. Unaweza ondoka wewe ukamuacha mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China iliweka ukweli wa Takwimu.. nakumbuka tuliona video za watu wakianguka kwa ghafla mjini Uhan. Marekani muda huo ilikuwa ikitoa maneno ya fedheha kwa China. Na WHO ilikaa kimya utadhani tatizo halijawakumba wanadamu. Sote tutakumbuka juhudi za China zilikuwa za peke ake Ni kisiwa Cha Comoro pekee kilichomchangia mchina shilingi laki mbili pekee kwaajili ya mapambano. Mmarekani Ni mshenzi aliyotukuka afunge hiyo mipaka afe pekeake
Umenikumbusha aiseee! Ni Comoro pekee waliotoa msaada China wa $100
 
Back
Top Bottom