Inawezekana unawaza kua utabaki halafu utamiliki (utarithi) viwanda vyote vya bhakresa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa nitarithi nikiwa nimekufa au ?
sasa umadahi tukifa milioni hata 10 hv mi nitabaki ?
Na habari za kwamba aliyegundu virusi vya ukimwi ANALIPWA nizakwel?
Vp yule wa chato ana akili ?Anangojea nini sasa [emoji16][emoji16] huyu mzee bana kweli hana akili timamu
Ila hakuna taifa linaloweza kukata mahusiano na UCHINA moja kwamoja kwasasa hakuna labda mbeleni hukooo...
Sent using My COVID-19
Hili ndilo linalo muuma basi ila akikata uhusiano na CHINA ndio Ule mwisho wao US unazidi kujongea [emoji3][emoji16][emoji6][emoji2][emoji1]Natizama sasa hivi BBC Swahili,uzalishaji China ktk viwanda umekuwa kwa 4% tokea waondoe lockdown.Naona hapo ndipo Trump anapopagawa,wakati yeye kasimama wenzake wameanza kukimbia.
Mtajuana wenyewe nahuyo wakwenu mie hayanihusu hayo.....Vp yule wa chato ana akili ?
Dark Side
Kwakua ushajua unaua watu wazima unaombea, afe mzazi urithi Mali. Unaweza ondoka wewe ukamuacha mzazimi sioni makali ya corona maana kama mpaka sasa hatujafa hata laki 5 hv sasa hii ndio mnaita janga la dunia ?
yaani tasmini yangu nilijua ndani ya mwezi mmoja hapa kwetu tuko zaidi ya milioni 60 kwa haraka haraka mpaka sasa nilijua tungekua tumeshaondoka hata milioni 10 hivi ila mpaka sasa mimi katika ndugu,jamaa na marafiki naowajua hakuna hata mmoja mwenye ana corona au amekufa kwa corona.
sasa yowe za nini ?
Umenikumbusha aiseee! Ni Comoro pekee waliotoa msaada China wa $100China iliweka ukweli wa Takwimu.. nakumbuka tuliona video za watu wakianguka kwa ghafla mjini Uhan. Marekani muda huo ilikuwa ikitoa maneno ya fedheha kwa China. Na WHO ilikaa kimya utadhani tatizo halijawakumba wanadamu. Sote tutakumbuka juhudi za China zilikuwa za peke ake Ni kisiwa Cha Comoro pekee kilichomchangia mchina shilingi laki mbili pekee kwaajili ya mapambano. Mmarekani Ni mshenzi aliyotukuka afunge hiyo mipaka afe pekeake
hayo ni mawazo yako maana kufa kuko pale pale hata nisipokufa na coronaKwakua ushajua unaua watu wazima unaombea, afe mzazi urithi Mali. Unaweza ondoka wewe ukamuacha mzazi
Sent using Jamii Forums mobile app