Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

Siku anachaguliwa Aljazra TV walishangiria Saana !!! Walimuona mkombozi ila kwasasa sjui Kama wanahamnae Tena!!!
Kumbe na wewe uliona. Yaani ni aibu kwa watangazaji wa Aljazeer na yupo pia mchambuzi mmoja shabiki maandazi wa jamaa pamoja na elimu yake nzuri ajisahau na kuongea rubish sana
 
Kuna mauaji gani mapya hawajawai kufanyiwa Gaza?

Wamepita wengi sasa hivi wapo chini ya ardhi wameiacha Palestina.

Palestina ni gereza la wazi Trump na Netenyahu watakufa wataicha Palestina.
 
Wao wakifa wanaenda peponi, maana wamekufa mashahidi
Ni uhakika gani au Ushahidi upi uliopo kwamba wakifa wanaenda peponi? Hiyo ni imani tuu kama walivyoamini na kujitumbukiza na kuanzisha lile tukio la tar.7Okt.2023.
 
Kuna mauaji gani mapya hawajawai kufanyiwa Gaza?

Wamepita wengi sasa hivi wapo chini ya ardhi wameiacha Palestina.

Palestina ni gereza la wazi Trump na Netenyahu watakufa wataicha Palestina.
1. Bado hawajawahi au kuonja kufanyiwa yale mauaji ya kumalizwa(Kujimaliza) kama ile sadaka ya Mwamposa ya kujimaliza.
2. Ni ukweli 100% usiopingika kwamba wote hao akina Hamas, Trump na Netanyahu watapita na wataiacha Palestina.
Swali la kujihoji hapo ni kwamba Je; baada ya hao wote kupita, Palestina itabaki ikiwa katika hali gani? e.g. Jangwa, magofu, hofu kuu nchi isiyo kalika tena au bonde la umauti; au Palestina itabaki nchi yenye utulivu na amani; nchi ya asali na maziwa?
 
Sisi kazi yetu ni kusubiri tuone hiyo jehanam ya wapalestina kama itatokea
Hapana mkuu. Badala ya kusubiri tu kuona jehanam ya Wapalestina, bado Tunaweza kufanya kazi walau ya kupiga kelele za kukemea au kuwaombea Wapalestina waepushwe na janga hilo.
 
Anachuna uso baada ya habari za kuongea na Hamas kisirisiri kuenea
Dah! Huyo jamaa ni pasua kichwa aisee. Kama ni kweli alishaongea na Hamas kisirisiri; Je, hayo anayoyatamka sasa hadharani ndo yale-yale aliyoongea sirini? Hakuna anayejua kwa uhakika.
 
Palestina itabaki kuwa Palestina kwa hali yeyote ile.
 
Sasa tumsikie mbwa Edorgan atasema nini

View: https://x.com/TheocharousH/status/1897551077282595111
 
Palestina itabaki kuwa Palestina kwa hali yeyote ile.
Naam. Ila umetoa jibu-hitimisho lenye sintofahamu ya kiaina (not specific)kwani hakuna kitu kinachoitwa kama hali yoyote ile. Hali inaelezwa au inakolezwa kama nzuri, mbaya, isiyoeleweka n.k. Hebu ikikupendeza, sema kwa uwazi zaidi huku ukizingatia tunazungumzia Hali itakayotamalaki na sio nchi (pande la ardhi).
 
Ndiyo shetani wenu kaallah alivyowadanganya?
Hivi kumbe huwa kuna shetani aitwaye kaallah? Je; wale wengine (kama wapo); wanaitwaje na ninani mmiliki wao? Tumeshajua kaallah ni wa Ritz. Hao wengine vp au ulimfahamu huyo mmoja tuu mkuu?
 
Kuna mauaji gani mapya hawajawai kufanyiwa Gaza?

Wamepita wengi sasa hivi wapo chini ya ardhi wameiacha Palestina.

Palestina ni gereza la wazi Trump na Netenyahu watakufa wataicha Palestina.
Trump hafi kabla hajaigeuza Gaza kuwa “a beautiful riviera paradise”. Keshaahidi kuwatengenezea Wapalestina maisha ya paradiso hapa hapa duniani.

Pia bila shaka unatambua na kufurahia kazi nzuri anayofanya Trump kwa ubia na Putin kuibomoa Ukraine, Ulaya na NATO kwa mpigo. Zikikamilika zote hizo labda ndio atasepa kimoja.
 
Palestina itabaki kuwa Palestina kwa hali yeyote ile.
Bila shaka mkuu umekubali kwamba, kati ya Biden na Trump aliye na huruma ni Biden kwa habari ya Gaza. Ingawa kwa habari ya Ukraine, Trump amekufurahisha. Trump hasomeki, kila tukitaka kumsoma anatuchanganya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…