Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

Lakini tusipuuze Elimu ni Elimu tu.
Hakika, na hata sijapuuza elimu itazidi kuwa elimu na ustawi wa maarifa na maendeleo.

Nachomaanisha hapa waliokuwa vizuri katika utendaji bila kujali elimu yao wapewe nafasi za kiutendeji na wale waliokuwa na elimu zaidi wapewe nafasi za usimamizi.
 
Wakati huo mshawatimua watu maofisini huko kisa vyeti feki.
Akili zetu zimeganda kwenye vyeti. Unajiuliza hivi kua askari kumahitaji cheti?

Kua mwanajeshi kunahitaji cheti?

Kua dereva kunahitaji cheti?

Kua fundi rangi, fundi ujenzi kunahitaji cheti?

Wao wameamua kutambua ujuzi wa kazi bila kujali umeupata wapi. Iwe umeutoa popote wao wanautambua. Uwe saidia fundu hadi ujue ujenzi hakuna shida, wanaita apprenticeships
 
Mimi mwenyewe natengeneza chaki za kufundishia mashuleni na ninaziuza nmeanzisha kiwanda changu kidogo but by profession nmesomea Mambo ya kilimo na mifugo nna certificate na Sasa siitaji hizo ajira zenu labda mm niwaajili vijana wenzangu but siajiri wenye elimu
But wanaohitaji chaki wanitafute kwa no.0744479793
0654061337
0629709410
Fb: mkulimamweusi
Email: mkulimamweusi@gmail.com
benjamin.mbilo@oneacrefund.org
 

Attachments

  • IMG_20201014_153526.jpg
    149.7 KB · Views: 2
  • IMG_20200930_181357.jpg
    95.3 KB · Views: 2
Unafahamu pia kwamba Ivanka Trump na Jared Kushner (mkwewe Trump) hawakuwa na ujuzi wowote walipowekwa hapo Ikulu?
Yet Kushner kaweza kuleta oamoja mahasimu wa miaka jambo lililowashinda wanadiplomasia wasomi wengi. Inatafakarisha...
 
Lakini tusipuuze Elimu ni Elimu tu.
Nadhani ni tofauti ya tafsiri ya Elimu. Huwezi fanya kazi ambayo ni professional unless ulijifunza na kufanyia zoezi.

So hapa ni formal vs informal kind of debate.
Mtu asinyimwe nafasi kwa sababu tu elimu yake ni informal. Aliyeelimika na elimu yake apewe.

Ndivyo nilivyotafsiri mada hii
 
Una vituko wewe unadhani jeshi LA sasa ni lile la 1900 la kuangalia urefu na ufupi wa MTU??
Hivi hoja kama hii unaweza kuitoa kwenye nchi kama Russia?? watu wakakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…