Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua hili.Hii hoja USA walikua nayo miaka ya 1970's. Lakini Trump kairudisha.
Natamani iwe hata hapa Tanzania
Hakimu Mfawidhi,
Nadhani huu mfumo ni bora zaidi kwa bara Afrika, ni wakati sasa kwa shughuli za kiutendeji kuwa chini ya wenye uzoefu na shughuli za usimamizi kuwa chini ya waliokuwa na vyeti.
Hakika, na hata sijapuuza elimu itazidi kuwa elimu na ustawi wa maarifa na maendeleo.Lakini tusipuuze Elimu ni Elimu tu.
Ilikuaje ikaondolewa?Hii hoja USA walikua nayo miaka ya 1970's. Lakini Trump kairudisha.
Natamani iwe hata hapa Tanzania
Akili zetu zimeganda kwenye vyeti. Unajiuliza hivi kua askari kumahitaji cheti?Wakati huo mshawatimua watu maofisini huko kisa vyeti feki.
[emoji23] [emoji23] hapo sasaWakati huo mshawatimua watu maofisini huko kisa vyeti feki.
Ila tambua kuwa na elimu na kuwa na akili nivitu viwili tofauti. Sasa kuna ofisi ukiingia utapata wenye elimu ni wengi ila wenye akili ni wachacheLakini tusipuuze Elimu ni Elimu tu.
Yet Kushner kaweza kuleta oamoja mahasimu wa miaka jambo lililowashinda wanadiplomasia wasomi wengi. Inatafakarisha...Unafahamu pia kwamba Ivanka Trump na Jared Kushner (mkwewe Trump) hawakuwa na ujuzi wowote walipowekwa hapo Ikulu?
Nadhani ni tofauti ya tafsiri ya Elimu. Huwezi fanya kazi ambayo ni professional unless ulijifunza na kufanyia zoezi.Lakini tusipuuze Elimu ni Elimu tu.
Una vituko wewe unadhani jeshi LA sasa ni lile la 1900 la kuangalia urefu na ufupi wa MTU??Akili zetu zimeganda kwenye vyeti. Unajiuliza hivi kua askari kumahitaji cheti?
Kua mwanajeshi kunahitaji cheti?
Kua dereva kunahitaji cheti?
Kua fundi rangi, fundi ujenzi kunahitaji cheti?
Wao wameamua kutambua ujuzi wa kazi bila kujali umeupata wapi. Iwe umeutoa popote wao wanautambua. Uwe saidia fundu hadi ujue ujenzi hakuna shida, wanaita apprenticeships