Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi 60. Hata hivyo Trump mwenyewe amekwepa uwajibikaji na kumtupia lawama mtangulizi wake Biden.
Watu wengi wanaamini fukuza fukuza ya wafanyakazi wa umma aliyoingia nayo serikalini kipindi hiki imechangia kwa kiasi kikubwa ajali hiyo kwani idara ya usalama wa ni mojawapo ya taasisi zilizokumbwa na kadhia hiyo.