Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani

Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani

Hata kama sikujui ila Nina uhakika we ni mpumbavu na huna akili
... VERY TRUE, I MAKE MANY MISTAKES!
... But the real SUPERVILAIN here is the accursed Trump himself, trying to show his importance by threatening lives!
Sorry again gentleman, ... I CAN'T UNWRITE WHAT I'VE WRITEN EVEN IF I DELETE!
🙏🙏🙏❣️
 
Wakati wa kampeni nilisema hatoshinda lakini kwa njia za rushwa za matajiri amepita.
Sasa kwa fujo zake naamini ataivuruga Marekani na kuwa kama Kongo na hatimae hatomaliza muda wake salama.
Trump hili suala la kukataa kutoa pesa kwa ajili ya afya, kazingua, US imevuruga nchi nyingi sana duniani, wameharibu maisha ya watu na wameua mamilioni, wakati mwingine hio misaada acha watoe tu..
 
Back
Top Bottom