Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

Ni lini wapalestina walitaka haya mambo ya kuonesha vichupi na vikaptula ufukweni huku wakinywa bia?

Kama hii video ni ya ukweli inaonekana wazi kabisa Trump na watu wake bado hawajaelewa ni nini haswa hawa wapalestina wanachotaka au kukipigania miaka nenda rudi…
 
Sasa unataka gaza wapajaze misikiti au?
 
Yeye anadhani ardhi inahusu hawa waliopo gaza kwa sasa. Anasahau kuwa huo ni urithi wa vizazi na vizazi. Pia anasahau kuwa ardhi ni pamoja na yaliyomo juu ya ardhi, ndani ya ardhi, bahari yake, gesi iliyopo katika mwambao wa bahari n.k.
 
Unaingiaje nchi ya watu nakujijengea tu je yeye atajisikiaje natenyau au rais mwingine apange kujenga kitu bola kumshirikisha
 
Donald Trump ni m'beba maono ya dunia. Tundu Antipas Lissu m'beba maono ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom