Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Comment yako Imenkfanya nifikirie Ngorongoro, Loliondo, Banadari ya Dar na BagamoyoYeye anadhani ardhi inahusu hawa waliopo gaza kwa sasa. Anasahau kuwa huo ni urithi wa vizazi na vizazi. Pia anasahau kuwa ardhi ni pamoja na yaliyomo juu ya ardhi, ndani ya ardhi, bahari yake, gesi iliyopo katika mwambao wa bahari n.k.