Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

Yeye anadhani ardhi inahusu hawa waliopo gaza kwa sasa. Anasahau kuwa huo ni urithi wa vizazi na vizazi. Pia anasahau kuwa ardhi ni pamoja na yaliyomo juu ya ardhi, ndani ya ardhi, bahari yake, gesi iliyopo katika mwambao wa bahari n.k.
Comment yako Imenkfanya nifikirie Ngorongoro, Loliondo, Banadari ya Dar na Bagamoyo
 
Hahaha mzee muhuni sana eti mwisho mwisho anakula bata na nyau
 
Donald Trump ni m'beba maono ya dunia. Tundu Antipas Lissu m'beba maono ya Tanzania.
Hapo hiyo video ni utahira maana huwezi kutengeneza kitu ukaweka status zako kila mahali kama unataka kujenga jenga kitu cha watu kujiona ni kitu cha watu sijui why hana akili huyoooo
 
Ni lini wapalestina walitaka haya mambo ya kuonesha vichupi na vikaptula ufukweni huku wakinywa bia?

Kama hii video ni ya ukweli inaonekana wazi kabisa Trump na watu wake bado hawajaelewa ni nini haswa hawa wapalestina wanachotaka au kukipigania miaka nenda rudi…
Video ni ya kufikirika. It is not real
 
Trump mara atake greenland, panama canal, canada, na sasa anaitaka Gaza.

It seems huyu jamaa zimefyatuka kidooogo
 
Back
Top Bottom