Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

Strong ladg

Senior Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
170
Reaction score
445
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani.
Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku.
Tangu kutokea kwa vita ya Urusi na Ukraine, nchi za Umoja wa Ulaya zimelazimika kununua gesi yénye gharama kubwa kutoka vyanzo vingine ikiwa ni matokeo ya kulipuliwa kwa bomba la gesi la Nordstream 2 pamoja na vikwazo vinavyozilazimisha nchi za Umoja huo kuacha kununua gesi moja kwa moja kutoka Urusi.
Source:
"Trump threatens EU with tariffs over oil and gas imports | Reuters" https://www.reuters.com/world/us/tr...cit-with-us-by-purchasing-its-oil-2024-12-20/
 
Wataisoma ñamba lakini mwisho wa ubaya aibu maana ndio marekani inaenda kua mwisho wake wa kua taifa kubwa tegemezi
 
Back
Top Bottom