Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Nimeshakwambia nakula vilivyohalalishwa sikaribii kinyesi mimi! Unalilia sana dudu wewe; sio kwa kulitaja hivyo. Mwasho ukizidi peleka kwa mabasha zako huko.
Kwahiyo ulihalalishiwa kuliwa trako?
 
Donald Trump’s plan to dismantle the Deep State.

1. “Immediately reissue my 2020 executive order, restoring the President's authority to remove rogue bureaucrats.”

2. “Clean out all of the corrupt actors in our national security and intelligence apparatus.”

3. “Totally reform FISA courts which are so corrupt that the judges seemingly do not care when they're lied to in warrant applications.”

4. “Expose the hoaxes and abuses of power that have been tearing our country apart.”

5. “Launch a major crackdown on government leakers who collude with the fake news to deliberately we false narratives and to subvert our government and our democracy.”

6. “Make every Inspector General's office independent and physically separated from the departments they oversee so they do not become the protectors of the deep state.”

7. “Ask Congress to establish an independent auditing system to continually monitor our intelligence agencies to ensure they are not spying on our citizens or running disinformation campaigns against the American people, or that they are not spying on someone's campaign like they spied on my campaign.”

8. “Continue the effort launched by the Trump administration to move parts of the sprawling federal bureaucracy to new locations outside the Washington Swamp.”

9. “Work to ban federal bureaucrats from taking jobs at the companies they deal with and that they regulate.”

10. “Push a constitutional amendment to oppose term limits on members of Congress.”
Source: X
 
Donald Trump; the messenger of peace.
Kiongozi, naona Huna uzoefu na siasa za Marekani, republican ndio kinara wa vita Duniani na ndio sababu mara nyingi kama sio zote chama hicho ndio hozorotesha uchumi wa Marekani na Dunia kwa kupeka hela nyingi sana kwenye mavita ya hovyo hovyo na hivyo kufanya watu wao wapigie kura Democratic ili kijenge tena uchumi, subiri miaka minne.....
 
Kiongozi, naona Huna uzoefu na siasa za Marekani, republican ndio kinara wa vita Duniani na ndio sababu mara nyingi kama sio zote chama hicho ndio hozorotesha uchumi wa Marekani kwa kupeka hela nyingi sana kwenye mavita ya hovyo hovyo na hivyo kufanya watu wao wapigie kura Democratic ili kijenge tena uchumi
Nimemzungumzia D. Trump not Republican.
 
Wewe jamaa unatumia nguvu nyingi sana kujitangaza wallahi! Nimekwambia kinyesi mpelekee basha wako.
Kampikie mumeo sasa ili usije ukaachika ukaja kuanzisha uzi humu na kutusumbua kutaka ushauri baada ya kuachika.
 
Kampikie mumeo sasa ili usije ukaachika ukaja kuanzisha uzi humu na kutusumbua kutaka ushauri baada ya kuachika.
Imekuingia vilivyo! Next time don't try me. I warned you very early usidhani una copyright ya matusi. Kila mtu anayaweza akiamua. Usirudie tena.
 
Imekuingia vilivyo! Next time don't try me. I warned you very early usidhani una copyright ya matusi. Kila mtu anayaweza akiamua. Usirudie tena.
Wewe ni wakuonewa huruma tu na kingereza chako cha darasa la pili,yani wewe mchicha mwiba,choko uliyekubuhu unitishie mimi? Acha kuiongopea nafsi yako na kujifariji,

Nakuonea huruma kukaa na kubishana na wanaume hapa jf,mumeo anakusubiri,usije ukapigwa talaka halafu ukaja kutulilia hapa,naona unakata viuno mpaka unaangusha shanga zako za kiunoni.
 
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;

  1. Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
  2. Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
  3. Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
  4. Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
  5. Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
  6. Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
  7. European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
  8. Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
  9. Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
  10. Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
  11. Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
  12. Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
Inaitwa Trump Effect.

Ukiwa mwanaume unaunguruma ndani hata panya wanajificha, mende wanajificha, kunguni, mbu, majirani, mbwa, kila kitu kinajificha ama kunywea kabisa.

Biden alikua ni roboti pale Ikulu ndio maana hata wahuni wa Hausi walikua wanajifanyia wanavyotaka kwa sababu baba wa familia hakuwepo.

Trump ni mwanaume.
 
Wewe ni wakuonewa huruma tu na kingereza chako cha darasa la pili,yani wewe mchicha mwiba,choko uliyekubuhu unitishie mimi? Acha kuiongopea nafsi yako na kujifariji,

Nakuonea huruma kukaa na kubishana na wanaume hapa jf,mumeo anakusubiri,usije ukapigwa talaka halafu ukaja kutulilia hapa,naona unakata viuno mpaka unaangusha shanga zako za kiunoni.
Kubwa jinga wewe! Huna akili.
 
Trump ana team nzuri kuna video pia niliona watu wake wa mtandaoni wanavyopost "post zake" yeye kazi kuongea tu wao wanatype niliipenda!!! Nadhani alijiandaa pia kwa muda mrefu kwa ajili ya uchaguzi!!
 
Wewe jamaa unatumia nguvu nyingi sana kujitangaza wallahi! Nimekwambia kinyesi mpelekee basha wako.
Hilo jamaa nina uhakika ni shoga 100% kila siku linazungumzia mambo ya ushoga-ushoga, ndo jambo pekee lililojaa kichwani mwake.
Huko lilipo linanuka mavi kwa kuzibuliwa mtaro.

Linabaki kujichekesha kweny comments za mabasha wake.
 
Mkuu, mimi namuunga mkono Trump haswa! Ila ukimgusa Mchina na Russia, mapema sana naruka na wewe, hata vifuti utapata. Sikuachi!

China na Urusi zimekuwa zikitumia busara muda wote. Hata kabla ya vita vya Ukreni, Putin aliwaalika hao vichwa-ngumu wa West wakae meza moja wazungumze, ila wao wakavimba - wakiongozwa na Boris Johnson, RIP - retired in pity.

Busara hiyohiyo ndiyo waitumiayo sasa kwa sababu wanamwona huyu mpya ni rais na kiongozi anayetumia akili (yake binafsi) kuliko mabavu kama wale.

Halafu wenzio wanawaza kukuza uchumi na biashara kwa njia ya maafikiano, maridhiano na amani. Marekani yenyewe mara zote inaonekana kufanikiwa kwa kuyaanzishia timbwili mataifa mengine.
Donald Trump na Putin wanaelewana sababu wako Diplomatic ila Biden alikuwa na tabia za kike. Yeye na genge lake ni kufanya jambo ilimradi wakukomeshe 🤣 bila kujali atapata athari kiasi gani. Putin akaamua nae aanzishe genge lake ili awanyong'onyeze wakina Biden kabisa kwa kuwavuruga vuruga tu kimipango 😄
 
Putin hatumii busara, nilikuwa namuunga mkono sana, lakini kwenye swala la Ukraine ndiyo nilipomuona mpuuzi. Alichotakiwa ni kujenga Ushawishi kwa Ukraine iwe upande wake kama alivyoweza kuwashawishi Belarusi, siyo kuanzisha vita visivyo na kichwa wala miguu, the same goes to China.

Wakat ukimuana Russia anatumia busara, behind the stage ndiye amekuwa ak engineer mfumuko wa wakimbiza kuingia Ulaya. Wanaenda Russia kwa gear ya utalii, ana facilitate usafiri na kuwapeleka Belarusi , wakifika uhuko walikuwa wanapelekwa border ya Belarusi na Poland wanawasukumizia huko.

Poland imejenga ukuta kwenye mpaka wote wakawa wanalazimisha kuruka, sasa hivi mtu akiruka tu ni shot to kill. Wakadhani utani, walipojaribisha waliuawa sana. Muda wote anafanya hayo ilikuwa ni kabla ya vita, maana yako kuna kitu aliuwa akikiandaa dhidi ya West
Unamshawishije jirani ambaye ameamua kuungana na adui yako kukuangamiza?

Kwani Putin alipokuwa anasisitiza Minsk Agreement izingatiwe na still Biden akawa anamjaza sumu Zelensky kuwa atamuunga NATO pamoja na kumpa masilaha ili amvuruge Urusi ulitaka Urusi ikae kimya hadi ivamiwe.
 
Mkuu mnatetemeka wewe na nani? Labda kama mliomsabiria maisha beberu:

View attachment 3147802

HAMAS kaambiwa kuondoka Qatar siku kumi zilizopita. Kumbe Trump kachaguliwa lini?

Nani wapi au lini alishasema anataka vita?

Kwani Tanzania ikisema leo haitaki vita na Marekani utasema ni Kwa sababu kaingia Trump? Kwani lini ilisema ilitaka vita? Uliwahi kumsikia hata Marekani mwenyewe akisema anataka vita?

Hizi ngonjera si za kuwapa watoto wa chekechea?

Kwamba umeorodhesha misimamo ya sehemu mbalimbali duniani ambayo ipo na kuipa unyunyu kuwa wanatetemeka?

Looh!

Mkuu labda kama mnatetemeka nyie lakini si wenye kujitambua wakiwamo Taleban, HAMAS, Hezbollah, Houthi, North Korea, Russia, China, SA, Venezuela, Cuba, Guinea, Burkina Faso au Iran huko!

Habari ndiyo hiyo ndugu.
Huyo anaota kwanza story ya kwamba Qatar wamewafujuza Hamasi sio kweli. Pia Hamasi wabaweza kwenda Algeria au Tunis au hata Oman au pia Iran.

Hio ya Al Houthi katutolea mpya.
 
Back
Top Bottom