Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
- Thread starter
-
- #21
Angalau US kuna watu wa kumhoji rais, fikiria Afrika iwe na nguvu kama US na viongozi wetu hawa wa mwaga mboga nimwage ugali[emoji23][emoji23]Mpende au umchukie huyo ndiye Donald Trump!Basi,kuna watu wamezaliwa hivyo.The born-free.Angekuwa anapiga "kangala" tungeimba haleluiya![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni miaka ya 80 uko kabla Trump hajawa rais japo walikua matajiri. Kingine kule hawapigi kama huku mbona ndugu zake Obama wana maisha ya kawaida tu hadi kesho!Sasa kaka mtu wa mdogo wa Raisi anakueje na maisha magumu
Watafanyaje[emoji28]Bado sijawaona wazee wa introvert wakija kwenye huu uzi [emoji23][emoji23]
Anadai mkristo, lakini kama ana sali [emoji23]Sidhani
🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kwa sautiTrump mwenyewe ameshalewa hata kabla hajanywa, Sasa pombe ya nini?
Wazungu hawanaga ujamaa tegemezi kama sisi Waafrika.Sasa kaka mtu wa mdogo wa Raisi anakueje na maisha magumu
Inaweza kuwa kweli lakini sio hawa kina Zakayo Mbarikiwa na Khalfan Said hawa pombe yao ni alie juu[emoji23]Utafiti unaonyesha watu wasiokunywa pombe wanaongoza kuwa na roho mbaya!
Hatari[emoji119]Wazungu hawanaga ujamaa tegemezi kama sisi Waafrika.
Dada yake David Beckham ana maisha magumu , last time i checked alikua anaishi nyumba za council. (Nyumba hizi huishi watu waliochoka kimaisha kule UK)
Tupo wengi asee, nikijitahidi san kuacha simaliz hata mweziHata 50 Cent pia, amekulia mtaani na alianza kuuza hard drugs tangu akiwa mtoto lakini yeye mwenyewe maisha yake yote haujawahi kuvuta hata sigara. Sasa hivi anauza pombe lakini yeye mwenyewe hanywi. Watu wengine wamebarikiwa sana. To be honest, mimi binafsi uraibu umenichelewesha sana maisha haya.
Hii shida Sana sijui tunatokaje huko Mimi nilijitahidi nilikaa wiki 3 nikaona kabisa jinsi nilivosave hela lakini wapi nimerudi tenaTupo wengi asee, nikijitahidi san kuacha simaliz hata mwezi
Inategemeana na utamaduni wa wahusika,wale wapo kwenye ubepari halisi,ujue hilo,you eat what you are sweating for.Sasa kaka mtu wa mdogo wa Raisi anakueje na maisha magumu
Eti kangala. Hii ni lugha maarufu Sana dodoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpende au umchukie huyo ndiye Donald Trump!Basi,kuna watu wamezaliwa hivyo.The born-free.Angekuwa anapiga "kangala" tungeimba haleluiya![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hii story yako ya kilokole sisi wamwagilia moyo ndio unadhani utatushawishi tusimwagilie moyo!!? Tupa kureeeeeHabari za mida,
Watu wengi duniani hutumia pombe kwa sababu mbalimbali zikiwemo kulewa, burudani, kuongeza uwezo wa kujichanganya na watu, kusahau matatizo na hisia hasi, kusherehekea, kuburudika na wapendwa wao, n.k.
Watu maarufu, wanasiasa, wafanya biashara wakubwa ni dhahiri kwamba pombe huwa ni sehemu kubwa ya maisha yao kwa sababu wao huingiliana na watu wengi zaidi, hushinikizwa sana yaani kwa kifupi ni kwamba wanashughulika na watu sana kuliko mtu wa kawaida na yote hayo yanahitaji kujiliwaza ili kuongeza uwezo.
Donald Trump rais wa 45 wa Marekani alishawai kusikika katika moja ya hotuba zake akisema hajawai kugusa pombe wala sigara maishani mwake! Wengi walishangazwa na hili kwa kuwa nafasi ya aliyokuwanayo Trump bila kumwagilia moyo aliwezaje?
Trump alienda mbali na kueleza kuwa alijifunza kutoka kwa kaka yake Fred Trump Jr ambaye alikuwa na tatizo la uraibu wa pombe. Anasema kaka yake alikuwa akimwambia kwa msisitizo mkali "Don't drink" yaani usinywe na akiogeza "Don't smoke" yaani usivute sigara.
Trump anasema kupitia kaka yake alijifunza na hajawai kuwa na nia wala tamaa ya kunywa pombe wala kuvuta sigara. Trump anakili kwamba Fred ndiyo alikuwa na muonekano, akili na utu kuliko yeye lakini pombe ilimuharibia.
Fred Trump Jr ndiye alikuwa mtoto mkubwa wa kiume wa tajiri Fred Trump na ndiye alikuwa anategemewa kuja kuwa mrithi wake, lakini mipango ya baba yake kumfanya mrithi iliisha baada Trump Jr kuamua kuachana na biadhara ya familia na kwenda kusomea na kuwa rubani, aliingia kwenye shida ya ulevi sugu aliishia kupoteza kazi ya urubani na kuishi maisha magumu.
Sijamshauri mtu aache pombe kwenye uzi wangu wala kuhukumu mtu, nimetoa habari kwa sababu hata mimi nilikua sijui kama Trump hanywi. Alafu si kila mtu hanywi sababu ni ulokole wengine wana sababu za kiafya na wengine ni maamuzi binafsi. Kama nimekukera pita leftSasa hii story yako ya kilokole sisi wamwagilia moyo ndio unadhani utatushawishi tusimwagilie moyo!!? Tupa kureeeee
Yule itakua chupi maana ana skendo nyingi sana za chupiKwa hiyo starehe Yake kubwa Ni gani eti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpende au umchukie huyo ndiye Donald Trump!Basi,kuna watu wamezaliwa hivyo.The born-free.Angekuwa anapiga "kangala" tungeimba haleluiya![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]