Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The same to me, kinywaji kimenicost pakubwa sanaHata 50 Cent pia, amekulia mtaani na alianza kuuza hard drugs tangu akiwa mtoto lakini yeye mwenyewe maisha yake yote haujawahi kuvuta hata sigara. Sasa hivi anauza pombe lakini yeye mwenyewe hanywi. Watu wengine wamebarikiwa sana. To be honest, mimi binafsi uraibu umenichelewesha sana maisha haya.
Tuko pamoja. Na wewe si hunywi?Hawa wanaume wasio kunywa akina sisi starehe kubwa ni kuchakata mbususu kiwango cha lami alafu tunapenda big round booty,wide hip,n.k sana.
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]kuna sheikh mmoja huku kwetu anafuga nguruwe ila ajawai kutumia.
kutafuta hakuna mipaka
Born again Christian wawapi ,anawatumia hao MAGA ambao wengi ni christian right-wingers na wengi ni racists KKK ,neonazis all of them claim to be white supremacist Christian protestants .
Trump ni mchafu wa tabia , zile scandals zake za kulala na makahaba akina Stormy Daniels ,shangingi na Kuwadi mkubwa kama Ghislaine Maxwell nk
Ukwepo kodi , racism , misogynism na kudhalilisha wanawake tena kuna moja amerekodiwa kabisa kwenye tape hapo white house akisema "who cares ,I always do anything on any woman ,I grab and rub them by their pussies "
What a shameful fool . Trump alikuwa ni disgrace Kwa whitehouse , Whitehouse haijawa kuwa na rais mpumbav ,ignorant na uncultured kama Trump
Actually uraibu WA pombe WA huyo Fred Trump kaka yake na Trump ulisababishwa na baba yao na Trump , alikuwa ana mchumkia sana na kumistreat Fred na aliapa hata biashara atamrithisha Trump ,kama una muda soma hiki kitabu cha mtoto wa Fred Trump anayeitwa Mary Trump amedocument kila kitu humo cha visa baba yao alivyokuwa anafanyiwaSasa kaka mtu wa mdogo wa Raisi anakueje na maisha magumu
Ninamshauri apige Moja au mbili kwa afya. Kazi ya uongozi ni ngumu, jichangamshe kidogo ili uzidi kijichanganya na watu. Siasa ni watu na watu ni siasa.
Haaaaa Haaaaa 😂 ngoja ajeKwahiyo hiyo umejikunja apo juu kuandika takataka ukaona umechambua[emoji16]
Umesema kweli tupu!Trump mwenyewe ameshalewa hata kabla hajanywa, Sasa pombe ya nini?
Hakuna anayekushangaa, wewe lewa nyuchi, wacha wengine tulewe pombe.Safi sana Trump na 50 Cent..watu wengi wameingia kwenye huu uraibu wakati wa uteeneja kwa kufuata makundi na wanavyokuja kugundua kama walikosea kutoka inakuwa ngumu.
Najipongeza kwa kuwa kundi moja na Trump,50 Cent na wachache wengine..japo Jamii inatushangaa.
Inabidi na nyinyi muwekwe na serikali Kwny zile special groups/makundi maalum yaani(Wanawake, watoto, wazee,walemavu).Safi sana Trump na 50 Cent..watu wengi wameingia kwenye huu uraibu wakati wa uteeneja kwa kufuata makundi na wanavyokuja kugundua kama walikosea kutoka inakuwa ngumu.
Najipongeza kwa kuwa kundi moja na Trump,50 Cent na wachache wengine..japo Jamii inatushangaa.