Pombe inabidi uweze kui control ingawa pombe na wanawake vinaenda pamoja. Mtu ukilewa inakuwa rahisi sana kufakamia wanawake.
Mimi napiga pombe ila sijafikia hatua ya kujilaumu kwa kunywa ingawa kuna sku nikiwa vibe huwa natoa offer sana kesho asubuhi najilaum pesa imetumika vibaya ingawa ni mara moja moja sana