Trump: Iran Imevunja masharti ya Vita kwa Shambulio Hormuz, Yaonya Kuhusu Kuongezeka kwa Mapigano

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Rais Donald Trump amesema hatua za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni 'ukiukaji kamili' wa usitishaji vita, akiongeza kuwa wajumbe wa Marekani wanaelekea Pakistan kwa mazungumzo na kuonya kwamba ikiwa Iran itakataa makubaliano, Marekani itaongeza mashambulizi kwenye miundombinu muhimu."

Trump ametishia kuwarudisha zama za mawe za kale

Britannica
dc2031fd-5915-4e28-90e2-ef3afd178376.jpeg
 
Rais Donald Trump amesema hatua za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni 'ukiukaji kamili' wa usitishaji vita, akiongeza kuwa wajumbe wa Marekani wanaelekea Pakistan kwa mazungumzo na kuonya kwamba ikiwa Iran itakataa makubaliano, Marekani itaongeza mashambulizi kwenye miundombinu muhimu."

Trump ametishia kuwarudisha zama za mawe za kale

BritannicaView attachment 3575431
what a punk ass president
 
War of Choice...

Trump kawekwa mfukoni na Netanyau.
 
TRUMP alipuuza Diplomasia yani kuongea badala yake akatumia MOTO💥💥💥 sasa Iranian imeelewa kwasasa wapo kwenye njia ya MOTO sio Diplomasia tena..

Trump analeta janja janja upya ya Diplomasia 👹👹
 
Back
Top Bottom