Trump: Israel imeshindwa "kazi" dhidi ya Hezbollah, Syria watafanya vizuri zaidi

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
24,661
Reaction score
40,890
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.

Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa watu wengi wasio na hatia.

Trump kaenda mbali na kushauri kazi ya kupambana na Hezbollah ifanywe na Syria na amedai Syria itafanya "kazi" nzuri zaidi kuliko israel.

Ni wazi sasa Trump ameichoka israel na mbinu zake za kigaidi za kuuwa raia wasio na hatia kwa kisingizio cha "kusaka magaidi". Ni wazi sasa Trump keshamchoka Netanyahu na vita zisizoisha.

Imagine US-Iran wamesaini mkataba wa amani ila Netanyahu analazimisha vita iendelee maana yake issue ya nuclear au iran kufadhili hezbollah wala haikua sababu ya vita bali yeye anataka kuendelea na vita tu kwa maslahi ya kubaki madarakani.

View: https://youtu.be/Dx138cAdPBo?si=Jel_PyO19hAb6d14

Cc Proved
 
Israel haijafurahishwa kabisa na haya makubaliano kati ya Marekani na Iran , isitoshe kitendo cha kutohusishwa kabisa kwenye hayo mazungumzo ni pigo kwa Netanyau.

Nadhani Israel inafanya juu chini ili hayo makubaliano yavunjike ikiwemo kuiharibu Lebanon na kukalia ardhi yake Ili Iran ikasirike na ivunje makubaliano.

Ngoja tuone namna Marekani kama itaamua kutumia nguvu yake na Ushawishi wake kuidhibiti Israel ya sasa yenye wahafidhina wenye siasa Kali.
 
Iran walisema Lebanon ikishambuliwa nao wanashambulia, vipi tena Mbona wamenywea? Israel anaendelea kumwaga moto
Screenshot_20260616-190705.png
 
Iran walisema Lebanon ikishambuliwa nao wanashambulia, vipi tena Mbona wamenywea? Israel anaendelea kumwaga moto
View attachment 3609176
Inaheshimu mkataba wa amani na USA, sasa Trump keshawaka kuwa Israel iache kushambulia Lebanon na kutaka Syria ndio ipeleke majeshi. Sasa tutakuja kuona nani mwenye nguvu kati ya US ama Israel. Ila nauona mwisho wa Netanyahu kama waziri mkuu
 
Netanyahu ndoto yake kuishinda Iranian kwa galama yoyote ile 🤠

Trump kaona ni ujinga kuendelea na Vita venyewe vinaididimiza Marekani shimoni mana matunda yote ya Gulf States yamekwama na uwenda yakakauka Juani kabisa kuendelea na Vita.
 
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.

Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa watu wengi wasio na hatia.

Trump kaenda mbali na kushauri kazi ya kupambana na Hezbollah ifanywe na Syria na amedai Syria itafanya "kazi" nzuri zaidi kuliko israel.

Ni wazi sasa Trump ameichoka israel na mbinu zake za kigaidi za kuuwa raia wasio na hatia kwa kisingizio cha "kusaka magaidi". Ni wazi sasa Trump keshamchoka Netanyahu na vita zisizoisha.

Imagine US-Iran wamesaini mkataba wa amani ila Netanyahu analazimisha vita iendelee maana yake issue ya nuclear au iran kufadhili hezbollah wala haikua sababu ya vita bali yeye anataka kuendelea na vita tu kwa maslahi ya kubaki madarakani.

View: https://youtu.be/Dx138cAdPBo?si=Jel_PyO19hAb6d14

Cc Proved

Kwa sasa Trump anaipelekea moto Israel mpaka wanajuta kushirikiana nae.
 
Back
Top Bottom