zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Israel haijafurahishwa kabisa na haya makubaliano kati ya Marekani na Iran , isitoshe kitendo cha kutohusishwa kabisa kwenye hayo mazungumzo ni pigo kwa Netanyau.Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.
Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa watu wengi wasio na hatia.
Trump kaenda mbali na kushauri kazi ya kupambana na Hezbollah ifanywe na Syria na amedai Syria itafanya "kazi" nzuri zaidi kuliko israel.
Ni wazi sasa Trump ameichoka israel na mbinu zake za kigaidi za kuuwa raia wasio na hatia kwa kisingizio cha "kusaka magaidi". Ni wazi sasa Trump keshamchoka Netanyahu na vita zisizoisha.
Imagine US-Iran wamesaini mkataba wa amani ila Netanyahu analazimisha vita iendelee maana yake issue ya nuclear au iran kufadhili hezbollah wala haikua sababu ya vita bali yeye anataka kuendelea na vita tu kwa maslahi ya kubaki madarakani.
View: https://youtu.be/Dx138cAdPBo?si=Jel_PyO19hAb6d14
Cc Proved
Inaheshimu mkataba wa amani na USA, sasa Trump keshawaka kuwa Israel iache kushambulia Lebanon na kutaka Syria ndio ipeleke majeshi. Sasa tutakuja kuona nani mwenye nguvu kati ya US ama Israel. Ila nauona mwisho wa Netanyahu kama waziri mkuuIran walisema Lebanon ikishambuliwa nao wanashambulia, vipi tena Mbona wamenywea? Israel anaendelea kumwaga moto
View attachment 3609176
Kwa sasa Trump anaipelekea moto Israel mpaka wanajuta kushirikiana nae.Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.