britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ni yeye,ni empty set ya kawaida tu kama zingineAliyeiba simu ya brita tunaomba arudishe kwa mwenyewe tafadhali
So what? Mbona meli nyingi tu zimeshindwa pita Hormuz kwa amri ya Iran kwanini USA isiende kuzisindikiza? Moja tu hii ndio kelele kibao unasahau zaidi ya meli 400 zimepigwa block!!Rais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman.
Baada ya kukataa amri ya kusimama, meli hiyo ilidhoofishwa na sasa iko chini ya udhibiti kamili wa Marekani, huku wanamaji wa Marine wakiilinda meli hiyo."
View attachment 3575618
Mtu yuko Yombo vituka anachambua vita hii ninyi kuleni urojo kwanza
Britanicca
KabisaWakae Wazungumze Tu Vinginevyo Watauwana Na Dunia Inaharibika Tunaiona Wote
Endelea tu kujifariji Iran safari hii kapatikana alijifanya kuweka Block naye kawa Blocked!!So what? Mbona meli nyingi tu zimeshindwa pita Hormuz kwa amri ya Iran kwanini USA isiende kuzisindikiza? Moja tu hii ndio kelele kibao unasahau zaidi ya meli 400 zimepigwa block!!
Na hiyo meli ilikua flagged ya Iran haimaanishi ni ya Iran. Sawa tu na meli zenye bendera ya Tanzania zinavyokamatwa huko Mexico ila haimaanishi mmiliki ni Mtanzania bali usajili tu.
Na wewe mshangilie trump na israel ,lakini hawaheshimu dini ya kikristoEndelea tu kujifariji Iran safari hii kapatikana alijifanya kuweka Block naye kawa Blocked!!
Hakuna cha kutoza watu dola million mbili bandari zake zote zimepigwa kibano hana Pete nyingine zaidi ya Mlango bahari wa Hormuz!!!
Iran alijifanya kichaa kushambulia mpaka majirani zake sasa Acha aisome namba!! Safari hii atazisoma kwa ki-Hebrania!!!
Dah nimecheka,handeni ndio kwetuAliyetuletea taarifa hii kutoka "Handeni" ni mwanahabari wetu britanicca.
umeumia gaidiSo what? Mbona meli nyingi tu zimeshindwa pita Hormuz kwa amri ya Iran kwanini USA isiende kuzisindikiza? Moja tu hii ndio kelele kibao unasahau zaidi ya meli 400 zimepigwa block!!
Na hiyo meli ilikua flagged ya Iran haimaanishi ni ya Iran. Sawa tu na meli zenye bendera ya Tanzania zinavyokamatwa huko Mexico ila haimaanishi mmiliki ni Mtanzania bali usajili tu.
Hizo sanamuNa wewe mshangilie trump na israel ,lakini hawaheshimu dini ya kikristo
View: https://x.com/realcarola2hope/status/2045939335187542421?s=61
Na wewe mshangilie trump na israel ,lakini hawaheshimu dini ya kikristo
View: https://x.com/realcarola2hope/status/2045939335187542421?s=61%5B/
View:
Usifurahi%20trump%20hamwezi%20iran,
Tayarisha%20pesa%20zaidi%20za%20mafuta,hata%20vita%20vikiisha%20hayateremki.
https://x.com/geovishalsharma/status/2046070694531011063?s=61
Ndio ni sanamu lakini nitakatifu kwa ndugu zetu wa dini ya kikristo ,lazima tuheshimu dini yaoHizo sanamu