Trump: Jeshi la wanamaji la Marekani lakamata Meli ya Iran baada ya jaribio la kuvunja utaratibu

Trump: Jeshi la wanamaji la Marekani lakamata Meli ya Iran baada ya jaribio la kuvunja utaratibu

Naumia nini? Iran imezuia meli 400+ kuvuka then meli moja tu ya kiraia ndio ituume? Mna matatizo
Acha kupotosha habari Iran kafunga mlango bahari wa Hormuz karuhusu tu shoga zake na waliokuwa wanataka kumlipa Dola milion mbili kwa kila meli!!

Cha kufurahisha Marekani imepiga pin kuanzia kwenye Bandari za Iran zote na kwenye International waters ikionekana meli imetokea kwenye Bandari za Iran kazi wanayo!! Sasa hivi Marekani haitaki kulea pimbi na mkia wake!!

Wanaotaka mafuta waende wakachukue Marekani na Venezuela yako mafuta ya kumwaga huko.

Iran akiendelea hivi bila kukubali mazungumzo atapigwa mpaka achakae!!

Safari hii magaidi wa Iran wameyakanyaga na lazima tu wapigwe watake wasitake kipondo kinawahusu!!
 
Tell them we will not recognize even if sun set in east.
Watanyooshwa na missile za Iran.
Israel does not need to be recognized by Terrorists Israel is there to fight Terrorism!!

Even if the Arabs do not recognize it, the country will continue to exist, and they will not be afraid. The Arabs will only be stretched.

Regarding Iranian missiles, they are not much of a threat to Israel because most missiles are intercepted from above before they reach their target, so they do not cause major damage.
 
Rais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman.

Baada ya kukataa amri ya kusimama, meli hiyo ilidhoofishwa na sasa iko chini ya udhibiti kamili wa Marekani, huku wanamaji wa Marine wakiilinda meli hiyo."

Mtu yuko Yombo vituka anachambua vita hii ninyi kuleni urojo kwanza

Britanicca
Ila Kuna mataifa ya kijinga Sana, wewe unaatoka kwako kilometa nyingi unaenda kuweka masharti kwenye bahari ambayo Wala hupakani nayo unawazuia walio wekwa na Mungu eneo hilo kulitumia
 
Ila Kuna mataifa ya kijinga Sana, wewe unaatoka kwako kilometa nyingi unaenda kuweka masharti kwenye bahari ambayo Wala hupakani nayo unawazuia walio wekwa na Mungu eneo hilo kulitumia
Acha ujinga wewe hushangai Iran na Houth kuishambulia Israel ambayo iko mbali zaidi ya Kilomita 2,000 lakini unashangaa kitu kikifanywa na Marekani huo ni UNAFIKI wa Waarabu na kuna uwezekano wewe unatumika nao ndiyo maana wamekushikisha ujinga!!
 
Nani aliyemuanza mwenzazake kati ya IRAN na IZRAEL . Kila nchi ina inherent power ya self-defense na Kufanya reprisal
 
Nani aliyemuanza mwenzazake kati ya IRAN na IZRAEL . Kila nchi ina inherent power ya self-defense na Kufanya reprisal
Israel ndiyo walichokozwa na Iran kwa kuleta Proxy wake!! Hilo nalo wewe nalo hulijui?

Israel ndiyo ilianzwa kwa kutishiwa kufutwa kwenye ramani ya dunia na Iran na hili unajitoa ufahamu hulijui?

Kama Israel ulitaka wao waanze kuwaimbia Kaswida magaidi hao?

Kipondo tu ndiyo lugha wanayoielewa magaidi!!!
 
Back
Top Bottom