beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,666
Toka lini wakristo wakawa ndugu zenu? Si mnawaita Makafiri? Acheni kujipendekeza kwa wakristo!!Ndio ni sanamu lakini nitakatifu kwa ndugu zetu wa dini ya kikristo ,lazima tuheshimu dini yao
Naumia nini? Iran imezuia meli 400+ kuvuka then meli moja tu ya kiraia ndio ituume? Mna matatizoumeumia gaidi
Acha kushabikia ujinga, Israel inafuta hiyo hiyo inafuta ukristo Lebanon wewe unaona sawa tu? Yaani nyie mnaunga mkono hata wakichinja maaskofu wenu mtachekelea tu!!Toka lini wakristo wakawa ndugu zenu? Si mnawaita Makafiri? Acheni kujipendekeza kwa wakristo!!
Israel waendelee tu kuwapiga mpaka mnyooke kabisa wanafiki wakubwa nyie!!
Nyie ndio mnachekesha, vita ilikua kwa ajili ya kumng'oa utawala wa Ayatollah haikuwa sababu ya Hormuz. Yaani baada ya malengo ya kupindua nchi kufeli sasa mjadala umekua Hormuz kama sio kufilisika ni nini?Endelea tu kujifariji Iran safari hii kapatikana alijifanya kuweka Block naye kawa Blocked!!
Hakuna cha kutoza watu dola million mbili bandari zake zote zimepigwa kibano hana Pete nyingine zaidi ya Mlango bahari wa Hormuz!!!
Iran alijifanya kichaa kushambulia mpaka majirani zake sasa Acha aisome namba!! Safari hii atazisoma kwa ki-Hebrania!!!
Na wewe mshangilie trump na israel ,lakini hawaheshimu dini ya kikristo
View: https://x.com/realcarola2hope/status/2045939335187542421?s=61
Tell them we will not recognize even if sun set in east.Toka lini wakristo wakawa ndugu zenu? Si mnawaita Makafiri? Acheni kujipendekeza kwa wakristo!!
Israel waendelee tu kuwapiga mpaka mnyooke kabisa wanafiki wakubwa nyie!!
Ni ndugu zetu tumewapa ardhi na tumewajengea makanisa wakati nchi yetu ya kiislamu.Toka lini wakristo wakawa ndugu zenu? Si mnawaita Makafiri? Acheni kujipendekeza kwa wakristo!!
Israel waendelee tu kuwapiga mpaka mnyooke kabisa wanafiki wakubwa nyie!!
Shuhudia kanisa moja hiloNi ndugu zetu tumewapa ardhi na tumewajengea makanisa wakati nchi yetu ya kiislamu.
Mwambie Netanyahu
If your protestant this one for you,we rspect christianity more then your master in tel aviv
www.churchinoman.com
If your protestant this one for you,we rspect christianity more then your master in tel aviv
![]()
PCO | Church | Muscat
The PCO church is a Christ-Centered Community of Faith, Hope and Love for All Nationswww.churchinoman.com
Kama Ukristo kufutwa basi waarabu/waislamu ndiyo wanaoufuta Ukristo si Lebanon tu bali kwenye nchi zote za kiarabu, Wayahudi hawaui wakristo bali waislamu ndiyo kazi yao kuua wakristo!!Acha kushabikia ujinga, Israel inafuta hiyo hiyo inafuta ukristo Lebanon wewe unaona sawa tu? Yaani nyie mnaunga mkono hata wakichinja maaskofu wenu mtachekelea tu!!
Dini kweli ni kansa
Kama Ukristo kufutwa basi waarabu/waislamu ndiyo wanaoufuta Ukristo si Lebanon tu bali kwenye nchi zote za kiarabu, Wayahudi hawaui wakristo bali waislamu ndiyo kazi yao kuua wakristo!!
Kiasili Lebanon ilikuwa nchi ya kikristo kabisa lakini baada ya WANAFIKI kuingia huko walianza kuwaua wakristo na kuifanya Lebanon kuwa ya Wafuga Midevu na Majini!!. Kwenye nchi za kuarabu wakristo ni watu wa daraja la chini na hawaruhusiwi kufanya Ibada zao kwa uhuru!!
Kama ni wakristo ni ndugu zenu kwa nini wanateswa na kuuwawa ovyo ovyo kwenye nchi za kiarabu na nchi zingine? Acheni UNAFIKI wenu hakuna urafiki kati ya Uislam na Ukristo bali kuna Wakristo kuwaheshimu na kuwadhamini waislamu kwa sababu tu Wakristo wamejengwa kwenye UPENDO na Mungu wao ana uwezo hapiganiwi bali anajipigania mwenyewe!!
Mosad and CIA
Design and operate isis and al qaida
They admitted themselves
View: https://x.com/ounkaonx/status/2028715292185313388?s=61
Mosad and CIA
Design and operate isis and al qaida
They admitted themselves
View: https://x.com/ounkaonx/status/2028715292185313388?s=61
Mosad and CIA
Design and operate isis and al qaida
They admitted themselves
View: https://x.com/ounkaonx/status/2028715292185313388?s=61