Acha kupotosha habari Iran kafunga mlango bahari wa Hormuz karuhusu tu shoga zake na waliokuwa wanataka kumlipa Dola milion mbili kwa kila meli!!Naumia nini? Iran imezuia meli 400+ kuvuka then meli moja tu ya kiraia ndio ituume? Mna matatizo
Israel does not need to be recognized by Terrorists Israel is there to fight Terrorism!!Tell them we will not recognize even if sun set in east.
Watanyooshwa na missile za Iran.
The Muslims/Arabs media have been giving false information and comforting themselves to hide the defeat they are getting from the Israeli defence forces. They are publishing false things that cannot help them in anything.
Ila Kuna mataifa ya kijinga Sana, wewe unaatoka kwako kilometa nyingi unaenda kuweka masharti kwenye bahari ambayo Wala hupakani nayo unawazuia walio wekwa na Mungu eneo hilo kulitumiaRais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman.
Baada ya kukataa amri ya kusimama, meli hiyo ilidhoofishwa na sasa iko chini ya udhibiti kamili wa Marekani, huku wanamaji wa Marine wakiilinda meli hiyo."
Mtu yuko Yombo vituka anachambua vita hii ninyi kuleni urojo kwanza
Britanicca
Acha ujinga wewe hushangai Iran na Houth kuishambulia Israel ambayo iko mbali zaidi ya Kilomita 2,000 lakini unashangaa kitu kikifanywa na Marekani huo ni UNAFIKI wa Waarabu na kuna uwezekano wewe unatumika nao ndiyo maana wamekushikisha ujinga!!Ila Kuna mataifa ya kijinga Sana, wewe unaatoka kwako kilometa nyingi unaenda kuweka masharti kwenye bahari ambayo Wala hupakani nayo unawazuia walio wekwa na Mungu eneo hilo kulitumia
Nani aliyemuanza mwenzazake kati ya IRAN na IZRAEL . Kila nchi ina inherent power ya self-defense na Kufanya reprisalAcha ujinga wewe hushangai Iran na Houth kuishambulia Israel ambayo iko mbali zaidi ya Kilomita 2,000 lakini unashangaa kitu kikifanywa na Marekani huo ni UNAFIKI wa Waarabu na kuna uwezekano wewe unatumika nao ndiyo maana wamekushikisha ujinga!!
Israel ndiyo walichokozwa na Iran kwa kuleta Proxy wake!! Hilo nalo wewe nalo hulijui?Nani aliyemuanza mwenzazake kati ya IRAN na IZRAEL . Kila nchi ina inherent power ya self-defense na Kufanya reprisal
Mi Niko hapa Lushoto mkuu.Dah nimecheka,handeni ndio kwetu
πππ.Handeni Kwediboma
Anatumia ID nyingine kwa kudhani kuwa siitambui ID hiyo.Mwanao popoma kapotelea wapi?!
Kumbe wote ni Tanga line safi sana kiongozi,pamojaMi Niko hapa Lushoto mkuu.
Pamoja kaka.Kumbe wote ni Tanga line safi sana kiongozi,pamoja