technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wakati china wanatengeneza manowari leo.Marekani ana manowari za kijeshi 1000+.Wakati Trump anahaha na Corona huku China anatengeneza manowari za kivita kwa miezi tu
China ambae ndio anaongoza kwa kuwa na manowari nyingi duniani za kivita bado anaongeza zingine
Ingawa America ndio inaongoza kwa nguvu za navy lakini China pia hayuko nyuma
Vita hakuna ila ubabe wanaonyeshana hasa na hili la Corona ndio vita tosha View attachment 1433102
Sent from my iPhone using Tapatalk
Je marekani imeshapigana na Korea kaskazin jibu ni hapana haijawah, Trump ana matatizo sana
Hilo sio jibu, Trump anataka kujichukulia sifa za kijinga marekani haijawah kuingia Vita na north Korea kwa hiyo ana Cha kujivunia, na huwez sema Obama angeingia vitan na wakati north Korea still alikua anafanya uchokoz huu anaoufanya mpaka sahiviHujamwelewa.Kuna muda mzee Bolton alishawahi kumshawishi kuwa waingie vitanu na North k akakataa.Angekuwa obama aliyekuwa anaendeshwa na Hilaly angekubari.Nadhani hiyo ndio hoja yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
"In months" kama kawaida ya china.Wakati Trump anahaha na Corona huku China anatengeneza manowari za kivita kwa miezi tu
China ambae ndio anaongoza kwa kuwa na manowari nyingi duniani za kivita bado anaongeza zingine
Ingawa America ndio inaongoza kwa nguvu za navy lakini China pia hayuko nyuma
Vita hakuna ila ubabe wanaonyeshana hasa na hili la Corona ndio vita tosha View attachment 1433102
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wakati china wanatengeneza manowari leo.Marekani ana manowari za kijeshi 1000+.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!...Ina maana kwenye kila bahari kubwa hapa duniani kuanzia bahari ya Hindi, Atlantic, Pacific Marekani ana manowari zake kadhaa za kijeshi zinazofanya operesheni za kijeshi pamoja na doria.Wakati china wanatengeneza manowari leo.Marekani ana manowari za kijeshi 1000+.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuja military raison d'etat kutoka USA, China na North Korea kushusha nondo tulia soon utawaonaNilikuwa naangalia hotuba ya Trump leo usiku kupitia CNN, Trump ameishutumu China kwa kusema walifanya uzembe na kusababisha virusi vya Corona kusambaa Duniani.
Amesema Marekani inafanya uchunguzi mkali ili kubaini ukweli juu ya China kusambaza kwa makusudi virusi hivyo kwa Dunia.
Ila kauli iliyonishutua ni Hii kauli Trump alikuwa na maana gani? 'Amesema yeye asingekuwa Rais wa marekani wangekuwa kwenye vita na taifa la Korea'
Amesema anamtakia afya njema Rais wa North Korea!.
Wajuzi wa mambo ebu nielewesheni juu ya hii kauli ya Trump! ana maana gani?
Ngoja waje wa US wa Afrika[emoji3][emoji16][emoji6]Wakati Trump anahaha na Corona huku China anatengeneza manowari za kivita kwa miezi tu
China ambae ndio anaongoza kwa kuwa na manowari nyingi duniani za kivita bado anaongeza zingine
Ingawa America ndio inaongoza kwa nguvu za navy lakini China pia hayuko nyuma
Vita hakuna ila ubabe wanaonyeshana hasa na hili la Corona ndio vita tosha View attachment 1433102
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mi nahisi nisuala zima lakampeni tu hakuna lazaidi.Nilikuwa naangalia hotuba ya Trump leo usiku kupitia CNN, Trump ameishutumu China kwa kusema walifanya uzembe na kusababisha virusi vya Corona kusambaa Duniani.
Amesema Marekani inafanya uchunguzi mkali ili kubaini ukweli juu ya China kusambaza kwa makusudi virusi hivyo kwa Dunia.
Ila kauli iliyonishutua ni Hii kauli Trump alikuwa na maana gani? 'Amesema yeye asingekuwa Rais wa marekani wangekuwa kwenye vita na taifa la Korea'
Amesema anamtakia afya njema Rais wa North Korea!.
Wajuzi wa mambo ebu nielewesheni juu ya hii kauli ya Trump! ana maana gani?
Wapo vijana wa chademaKuna wajuzi humu wa masuala nyeti ya taifa la Marekani kweli? Kama wapo basi hii Forum ni kiboko. Mambo ambayo majority ya wamarekani wenyewe hawaelewi.
Tukisoma kuhusu manowari za kivita tunazungumzia kuhusu total displacement hatuzungumzii idadi ya namba. Naweza nikawa na Scania 114 mpya moja wewe una kirikuu mpya kumi na ukaenda unashangilia kuwa una magari ya mizigo kumi huku mimi ninalo moja.Za [emoji631] zinajulikana 490 tu na 90 aidha zipo kwenye matengenezo au zinafufuliwa ila hizo 1000+ Ungetuweka na sauce
China hajaanza kutengeneza manowari za kivita LEO kama ulivyoandika
Kawasome Han Dynasty wa China kuhusu meli za kivita ilikuwa 138BC
Ni miaka zaidi 1000
Hatunishani hapa ila facts tu please
Sent from my iPhone using Tapatalk
Navy ya Marekani ina fleet kila bahari. Kubwa zaidi nadhani ni Pacific fleet. Pale ghuba ya Uajemi wana meli zao kulinda msafara wa mafuta, pale Giblaltar wana meli zao kumonitor meli zinazoingia Ulaya na kutoka, pale South China sea wana meli zao na carrier group mara kadhaa inapelekwa pale, Baltic sea kuna submarine zao zinazurula kuchunguza mwenendo wa Urusi. Bado kuna satellite angani. Bado kuna maritime patrol aircrafts kama Orion na Poseidon. Bado kuna cable zimetandazwa baharini as listening devices.Duh!...Ina maana kwenye kila bahari kubwa hapa duniani kuanzia bahari ya Hindi, Atlantic, Pacific Marekani ana manowari zake kadhaa za kijeshi zinazofanya operesheni za kijeshi pamoja na doria.
Noma sana hawa mabeberu.