marco polo jr
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 362
- 1,771
usishangae mkuu ni ujuaji wa watanzania kila kitu wanajua wanachambua siasa za mambele ambazo hata wao wenyewe huko majuu hawajui juzi Mara kiduku kafa kumbe hajafa yupo zakeKuna wajuzi humu wa masuala nyeti ya taifa la Marekani kweli? Kama wapo basi hii Forum ni kiboko. Mambo ambayo majority ya wamarekani wenyewe hawaelewi.